Napata wanawake tegemezi tuu, nakosea wapi?

Huwezi kupata mwenza wa uhakika wakati wewe si wa uhakika, 'likes attracts.....',
 
Hawa viumbe walishalaaniwa, ukimsemesha tu siku hiyohiyo anakuwa yatima anaanza kupiga mizinga ya hatari.
 
Hata ukipata anaejimudu atakuwa tegemezi tu.Hela zao wanajua wenyewe wanapozipeleka
 
Siwataki wanawake tegemezi

Nawachukia sana, ni wanyonyaji na mizigo

Hawana faida baada ya sex

Wanarudisha maendeleo nyuma

Nimewakataa rasmi tangu tar1 mwez huu

Washkaji zangu hawatoi,, ila mi full kutoboka maanina kabisa
Mkuu mm nilipata mke wa mtu akanikabidhi gharama zote za mwanae wakat baba mtu bado yupo hai....birthday, ada, uniform & outing..jana tu "ananikopa" 100,000 eti atarudisha nimempa pensheni ya 20,000 na kumblock.
 
2009 ndo unamaliza sekondari? Ndo maana.Aisee humu waweza kuta unachangia uzi wa mwanao anaelezea alivotoa mtandao pendwa
 
Hata mimi nina bahati mbaya aise kuna mmoja huyo siku ya kwanza alinitoa tukala kiti moto na bia kadhaa nikaa wiki nikimtafakari nikajisemea moyoni yes mwanamke si ndo huyu
Subutu nina mwezi wa nne sasa hata kodi ya nyumba nalipia mie
Mpaka hela ya mboga ananipigia simu
Sijui nakoseaga wapi ?
 
Wewe ni mwanamke au mwanaume?
 
Unakosea kutowauliza wana shughuli gani yakuwaingizia kipato wakati unawatongoza/wanakutongoza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…