Napata wanawake tegemezi tuu, nakosea wapi?

Ahahahaaa Boss hizi falsafa zako. Ngoja tuone. Ila maisha lazima yaende
 
AhahahaaaBoss hizi falsafa zako. Ngoja tuone. Ila maisha lazima yaende
hahaa haya chief " maisha huwaga hayapo completely mzee "... maisha ni tatizo ambalo linasubiri utatuzi ".... thats why tunakula ili tusife " tunaoga na kupiga mswaki ili tusinuke ".... unapo fanya hivyo vitendo vyote na vinginevyo ambavyo vina tuzunguka ndio unakuwa unaishi kwenye uhalisia (utatuzi wa tatizo )
 
Well said...
 
Waswahili husema kuwa "ndege wafananao huruka kwa pamoja". Maana yake ni kuwa wewe nawe umejiweka katika level ya hao wanawake wa aina hiyo na ndio maana unakumbana nao kila uchwao.


Badilika mkuu, acha ku hang out maeneo ambayo unakutana na hao watu wa aina hiyo. Change venue, hamia sehemu za kishua shua na sehemu za hadhi kidogo.

Utakutana wa watu wa hadhi ya tofauti na uelewa tofauti. Utapata maujanja ya tofauti. Jaribu kubadili kundi la ndege unaoruka nao. Kama ulikuwa unaruka na kunguru saivi jiweke kwenye mwewe.

Angalizo: Mwanaume mhudumie mkeo/mchumba/manzi. La sivyo nyuzi zile za..


" Tuliowahi........."

Hazitakaa ziishe humu.
 
Shule hiiii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…