Master Race
JF-Expert Member
- Feb 19, 2026
- 822
- 2,022
Acha buana na huyu ni usalama pole pole hakua amejipanga kwa kile alichokua anafanya alikurupuka sana mimi nilijua yuko hata kwenye makambi ya jeshiAlikuwa mjinga sana ,unajificha halafu unawatuma watu wakakununulie chips wakuletee ulipojificha halafu Iphone yako unaacha on location
Basi huelewi harakati, propaganda na mikakati ya siasa za Tanzania...Kilichotokea kwa polepole ni sawa na lowasa.
Polepole aliambiwa tangulia tunakuja, anza kwa kuandika barua ya kujiuzulu, wewe ndiyo utaongoza mapambano. Jamaa kavuka mto akajikuta yupo peke yake.
Lowasa aliambiwa tangulia chadema tunakuja akajikuta yupo na mgeja, mgana msindai na guninita
Wenzake wale walomwambia tangulia ndo wakawa wanamcheka
Aliyemchoma H. P ni Mzee butiku. Huyu ni miiongoni mwa walomwambia jamaa atangulie
NakumbukaKabla ya JPM polepole alikuwa mtu wa kawaida sana (mshamba) mdomo ndio ulimpa jina
Mwisho wa siku, " Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke, siku zake si nyingi na hakuna atakayeishi milele". Ndio maana, wapo wanaokufa wakati wa kuzaliwa, wakiwa newborns, underfives, vijana na wengine hufa uzeeni. Na kwa aliyekufa, kifo ni kifo. Kuna watu waliua wenzao, wakiwa njiani kurudi makwao nao wakauawa. Kwa sababu hiyo, ni mjinga tuu atakayebeza mauti ya mtu.Kuna wakati nape alianza kuleta za kuleta akaambiwa akae kimya, akaambiwa alishalipwa kwa kazi hizo aache kutoa povu. Maana yake ni kwamba kule hata uwe mkubwa vipi ukitoa siri za huko wanakumaliza, usalama ni kukaa kimya uishi kama ulivyoapa kuwa hutatoa siri
nani huyoAliyemchoma naye yupo kitandani anapigania roho yake malipo ni hapa hapa.
Polepole alikuwa mjinga fulani tu wa low IQ ila bahati mbaya Magufuli alim overrate na kumpa nafasi ya Usemaji wa CCM.Kwamba ndugu Polepole alikuwa hajui kama kujirecord vidio kama zile na upo ndani ya nchi ingemletea shida?
Kwamba alikuwa na uelewa mdogo kuhusu teknolojia?
Inakuwaje unajipiga picha au recording na kusema hapa ni wapi kwa jinsi teknolojia ilivyokuwa
Au kipindi anafanya hayo alilewa🙄
Pia soma Kupotea kwa Humphrey Polepole kumefanya hata walio CCM wajione wao sio lolote wala chochote. Ni onyo ma kitisho
Alikufa kizembe bwana acheni kutetea ubwege. Mbona Bashiru Ally baada ya kutolewa Ikulu alitulia kimya, na huyo anakula matunda ya nchi!! Utaamua mwenyewe ufurahishe jukwaa au ufurahishe familia yako. Sasa hivi Polepole hayupo ila wanaoteseka ni mama yake na ndugu zake. Kisa ubwege wa PolepoleMwisho wa siku, " Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke, siku zake si nyingi na hakuna atakayeishi milele". Ndio maana, wapo wanaokufa wakati wa kuzaliwa, wakiwa newborns, underfives, vijana na wengine hufa uzeeni. Na kwa aliyekufa, kifo ni kifo. Kuna watu waliua wenzao, wakiwa njiani kurudi makwao nao wakauawa. Kwa sababu hiyo, ni mjinga tuu atakayebeza mauti ya mtu.
🤣😂🤣 Yaani nyie wavulana msiojua mambo mna vituko sana. Kwahiyo Polepole alikuwa mtu wa kawaida na mshamba kabla ya JPM?Kabla ya JPM polepole alikuwa mtu wa kawaida sana (mshamba) mdomo ndio ulimpa jina
Kwa binadamu wote kiasili,Kwamba ndugu Polepole alikuwa hajui kama kujirecord vidio kama zile na upo ndani ya nchi ingemletea shida?
Kwamba alikuwa na uelewa mdogo kuhusu teknolojia?
Inakuwaje unajipiga picha au recording na kusema hapa ni wapi kwa jinsi teknolojia ilivyokuwa
Au kipindi anafanya hayo alilewa🙄
Pia soma Kupotea kwa Humphrey Polepole kumefanya hata walio CCM wajione wao sio lolote wala chochote. Ni onyo ma kitisho
Me tooSijawahi kumuelewa mpaka leo
Kwani hujui kila jambo lina sheria na kanuni ukivuka mipaka unaliwa kichwaKosa sio la pole pole.
Hakuna Sheria yoyote inayosema mtu akikosoa serikali auliwe.
Mipaka gani aliyovuka pole pole.ambayo imewapa kibali kumuua?Kwani hujui kila jambo lina sheria na kanuni ukivuka mipaka unaliwa kichwa
Wewe mamba unaenda kutoa taarifa za uzaifu wa wenzako ili kwa adui zenu alafu unataka wenzio wakuache
Ili maadui waue kizazi chenu si bora uuliwe wewe mmoja
amesimulia tayari wew muhanga umechukua uamuzi gani?
Polepole alisalitiwa/kuuzwa.Kwamba ndugu Polepole alikuwa hajui kama kujirecord vidio kama zile na upo ndani ya nchi ingemletea shida?
Kwamba alikuwa na uelewa mdogo kuhusu teknolojia?
Inakuwaje unajipiga picha au recording na kusema hapa ni wapi kwa jinsi teknolojia ilivyokuwa
Au kipindi anafanya hayo alilewa🙄
Pia soma Kupotea kwa Humphrey Polepole kumefanya hata walio CCM wajione wao sio lolote wala chochote. Ni onyo ma kitisho
Kwa hiyo Mr Pipa unataka kusemaje.?Kwamba ndugu Polepole alikuwa hajui kama kujirecord vidio kama zile na upo ndani ya nchi ingemletea shida?
Kwamba alikuwa na uelewa mdogo kuhusu teknolojia?
Inakuwaje unajipiga picha au recording na kusema hapa ni wapi kwa jinsi teknolojia ilivyokuwa
Au kipindi anafanya hayo alilewa🙄
Pia soma Kupotea kwa Humphrey Polepole kumefanya hata walio CCM wajione wao sio lolote wala chochote. Ni onyo ma kitisho
Hizo tuhuma za device location kuwa ON ni za kweli?Sijawahi kumuelewa mpaka leo