Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,643
- 1,177
Huwa napata shida sana nikikutana na Wanawake wenye hii tabia...Unampen-da Mwanamke kabisa from ur heart,unajipang-a unampiga saundi..anakuji-bu,''How old are you kaka'' unamwambia am 29 years..utamsiki-a,''Oh my Ghosh,ur still a kid,mi nadate guys who are 45 years above...Wanajua- kupenda,they are so caring,yaani nyie vijana mnasumbua sana''.Sio tunasumbua,anaj-ua kabisa miaka 29 bado ndo unasaka hela,ndo umeanza maisha huna cha kumhonga,ukijit-ahidi sanaaa utampeleka shopping Karume na hiyo hela itakuuma kishenzi!
Anakuita Kid bila aibu wakati yeye ana miaka 23 tu halafu eti ana mahaba na jitu la miaka 47..Uongo mtupu!Ina maana mtu hawezi kupenda na kucare hadi afike miaka 45??Nyie semeni tu mnawalia timing coz mnajua mtu mwenye miaka 45 anakuwa ameshajipanga,a-mefanya kazi ana hela,unajifanya- unampenda kumbe Parasite tu unataka kumnyonyoa mafao yake ya uzeeni,hamna hata aibu..Mnapenda sana vitu ready made,tengenezen-i vya kwenu,ukiona mtu ana miaka 45 jua kuna Mwanamke mwenzio amefanya kazi kumfikisha hapo alipo,we unakuja unadandia tu,,,Kama kweli una mahaba tafuta mwanaume wako,panda nae daladala za Buguruni mrukie wote dirishani,msote-e maisha kwa kutembelea TZ 11 hadi siku apate gari mfaidi wote halafu akifika miaka 45 uone kimwanamke cha CHUO kinamsogelea eti she caring uone inavyouma,utata-mani umpige patasi ya kisogo...Gold diggers,waone kwanza,msione gesi mtwara mshaanza kuandamana!45ye-ars guy waiting for u student of 23 years,ina maana miaka yote hiyo alikuwa Stevie Wonder au??
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
umenena kaka. mabinti wengi hasa wa vyuo wanapenda sana miteremko, hawajui mtu alisaga miguu, jua kali linamuwakia, ameloana na mvua na kutembea peku baada ya kukatikiwa na sendoz au viatu kutoboka akiwa anatafuta maisha.Huwa napata shida sana nikikutana na Wanawake wenye hii tabia...Unampen-da Mwanamke kabisa from ur heart,unajipang-a unampiga saundi..anakuji-bu,''How old are you kaka'' unamwambia am 29 years..utamsiki-a,''Oh my Ghosh,ur still a kid,mi nadate guys who are 45 years above...Wanajua- kupenda,they are so caring,yaani nyie vijana mnasumbua sana''.Sio tunasumbua,anaj-ua kabisa miaka 29 bado ndo unasaka hela,ndo umeanza maisha huna cha kumhonga,ukijit-ahidi sanaaa utampeleka shopping Karume na hiyo hela itakuuma kishenzi!
Anakuita Kid bila aibu wakati yeye ana miaka 23 tu halafu eti ana mahaba na jitu la miaka 47..Uongo mtupu!Ina maana mtu hawezi kupenda na kucare hadi afike miaka 45??Nyie semeni tu mnawalia timing coz mnajua mtu mwenye miaka 45 anakuwa ameshajipanga,a-mefanya kazi ana hela,unajifanya- unampenda kumbe Parasite tu unataka kumnyonyoa mafao yake ya uzeeni,hamna hata aibu..Mnapenda sana vitu ready made,tengenezen-i vya kwenu,ukiona mtu ana miaka 45 jua kuna Mwanamke mwenzio amefanya kazi kumfikisha hapo alipo,we unakuja unadandia tu,,,Kama kweli una mahaba tafuta mwanaume wako,panda nae daladala za Buguruni mrukie wote dirishani,msote-e maisha kwa kutembelea TZ 11 hadi siku apate gari mfaidi wote halafu akifika miaka 45 uone kimwanamke cha CHUO kinamsogelea eti she caring uone inavyouma,utata-mani umpige patasi ya kisogo...Gold diggers,waone kwanza,msione gesi mtwara mshaanza kuandamana!45ye-ars guy waiting for u student of 23 years,ina maana miaka yote hiyo alikuwa Stevie Wonder au??
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Mpaka wewe kaka,,najua utakua unatania tu mkuu,,,TUJITAHIDI KUHONGA?? sikuungi mkono kabisaaaaaaHa ha ha ha..Tatizo lenu vijana hela zenu mnazicikilizia sana fedha zenu.. Mnataka mkubaliwe kwa mashairi tu na swaggas za bure.. Enzi zetu ndo mashairi yalikuwa yanafanya kazi.. Ciku hizi mjitahidi kuhonga vijana..
Mayb yes Mayb not,,,Nimewakilisha Vijana woote humu Jamvini,,Haswa hivi vibinti vinavyoojita eti watoto wa mjini<<MTOTO WA MJINI HATA 1st degree HUNA??? KAZI KUCHUNA WATU TUU,,nina hasira sana ujue:A S angry: nimevimba vibaya mnooooPole sana kaka, naona yamekukuta
Unawakilisha vijana wote humu jamvini kivipi?Mayb yes Mayb not,,,Nimewakilisha Vijana woote humu Jamvini,,Haswa hivi vibinti vinavyoojita eti watoto wa mjini<<MTOTO WA MJINI HATA 1st degree HUNA??? KAZI KUCHUNA WATU TUU,,nina hasira sana ujue:A S angry: nimevimba vibaya mnoooo
Huwa napata shida sana nikikutana na Wanawake wenye hii tabia...Unampenda Mwanamke kabisa from ur heart,unajipanga unampiga saundi..anakujibu,''How old are you kaka'' unamwambia am 26 years..utamsikia,''Oh my Ghosh,ur still a kid,mi nadate guys who are 45 years above...Wanajua kupenda,they are so caring,yaani nyie vijana mnasumbua sana''.Sio tunasumbua,anajua kabisa miaka 26 bado ndo unasaka hela,ndo umeanza maisha huna cha kumhonga,ukijitahidi sanaaa utampeleka shopping Karume na hiyo hela itakuuma kishenzi!
Anakuita Kid bila aibu wakati yeye ana miaka 23 tu halafu eti ana mahaba na jitu la miaka 47..Uongo mtupu!Ina maana mtu hawezi kupenda na kucare hadi afike miaka 45??Nyie semeni tu mnawalia timing coz mnajua mtu mwenye miaka 45 anakuwa ameshajipanga,amefanya kazi ana hela,unajifanya unampenda kumbe Parasite tu unataka kumnyonyoa mafao yake ya uzeeni,hamna hata aibu..Mnapenda sana vitu ready made,tengenezeni vya kwenu,ukiona mtu ana miaka 45 jua kuna Mwanamke mwenzio amefanya kazi kumfikisha hapo alipo,we unakuja unadandia tu,,,Kama kweli una mahaba tafuta mwanaume wako,panda nae daladala za Buguruni mrukie wote dirishani,msotee maisha kwa kutembelea TZ 11 hadi siku apate gari mfaidi wote halafu akifika miaka 45 uone kimwanamke cha CHUO kinamsogelea eti she caring uone inavyouma,utatamani umpige patasi ya kisogo...Gold diggers,waone kwanza,msione gesi mtwara mshaanza kuandamana!45years guy waiting for u student of 23 years,ina maana miaka yote hiyo alikuwa Stevie Wonder au??
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
No money no honey, tumehamia dijitali kama unataka wa analojia rudi kijijini kwa wazazi wako, unless otherwise ukitaka vya bila gharama ni sawa na kusubiri meli stesheni utakesha!:flypig: