Phlagiey
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,499
- 1,687
Hahaaaaaaa!!! Kumbe tupo wengi wenye maswali ya hivi
Mbona haujaniuliza?
Hahaaaaaaa!!! Kumbe tupo wengi wenye maswali ya hivi
Huyo mtu ni kwereee
Tafuta ufutio halafu uchemshe, baada ya kuchemka ipua na kunywa maji yaliyotumika kuchemshia ufutio huo.
Baada ya nusu saa utakuwa umeifuta hiyo namba na hutaikumbuka tena.
jamani hii avatar ya bundi dah,rudisha ya mwanzo bhana
Ngoja niende nikapige ya kuanzia utosini mpaka unyayoni,..mtaomba niirudishe hiyo ya bundi...