Napata shida na hii namba

Napata shida na hii namba

duuh hadi hapa cjapata hata jibu,jaman wenye uelewa bhasi mje jukwani!
 
Wadau habarini za jion!

Jaman mwenzenu naomba mnisaidie kitu kimoja mana tangu niikariri namba ya huyu mwanamke yaani ina shida tupu,kwa hiyo naomba mnisaidie ili niweze kuifuta kichwani mwangu!

Ni hayo tu wanajukwaa!!!

Yaani wewe kama mimi tu hatuchekani,
lakini ukiona hivyo huyo mtu hata kama mmekosana ujue bado unampenda ndo hayo majanga ya kutosahau namba yanapokuja.
 
kaka salt jamaa mwenyewe ndo mimi ila mtoto bhado sijamseti vizuri ila ananisumbua kusudi tu na mbaya zaid namba yake ndo iyo imekaa kichwan

Sasa tatizo nini kama kwenye simu ume delete? Kwani kichwa ndio kinapiga simu au umetufumba wengine?
 
Ndugu hilo tatzo co lako peke yako,nimeachana na dem toka 2009 ila hadi leo namba yake ipo kichwan...sema nimejizuia kumtafuta tu
 
Wadau habarini za jion!

Jaman mwenzenu naomba mnisaidie kitu kimoja mana tangu niikariri namba ya huyu mwanamke yaani ina shida tupu,kwa hiyo naomba mnisaidie ili niweze kuifuta kichwani mwangu!

Ni hayo tu wanajukwaa!!!
ila kuna vitu siyo vyakuanzisha thread,,i know its a free world,ila it doesnt mean its free for abuse..
yani upo makini unataka tukusaidie kusahau kitu akilini mwako???
nani anayejua humu uwezo wako wa kukariri na uelewa??...
 
Tafuta ufutio halafu uchemshe, baada ya kuchemka ipua na kunywa maji yaliyotumika kuchemshia ufutio huo.

Baada ya nusu saa utakuwa umeifuta hiyo namba na hutaikumbuka tena.
hahaha!
atumie hata correction fluid itamsaidia pia.
anunue kile kichupa theni ajimiminie mdomoni ule wino
 
Back
Top Bottom