Napata shida kuattach file kwenye JF.

Napata shida kuattach file kwenye JF.

Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
1,691
Reaction score
641
Ni muda mrefu sasa nashindwa kuattsch file kwenye posts hapa JF.Mwanzo nilidhani labda ni net ipo slow,lakini kwenye email inakubali tena fasta. Naomba kujua tatizo linaweza kuwa nini,maana hata file la 1MB linandikana.
 
duu itabidi ujaribu kifile kidogo uone au upgrade browser yako..
 
duu itabidi ujaribu kifile kidogo uone au upgrade browser yako..

Mkuu natumia Mozila v.14 (my favourite browser) lkn 1mb siyo kubwa sana mkuu. Mbona kwenye email natuma files kubwa zaidi ya hilo bila shida. Anyway,I'll keep on tryin,ila inaniembarass sana kiukweli.
 
Maranyingi forums huweka limit ya uploaded contents. Nyingi huwa 200KB's-1MB kamili. So sina hakika file limita ya JF ni ngapi.
 
Back
Top Bottom