Napata shida kidogo.

Ranks

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
2,583
Reaction score
1,098
Ninawapenda sana wanyonge na nina kiu ya kuwasaidia ila katika hivi vitatu ninashindwa nianze na kipi.
(1)

(2)

(3)
 
Tatizo hatutaki ushauri wa mtu ni wewe tu hata basi muombe wife ushauri
 
Ukianza na namba 1 na 2 utaweza kufanya namba 3 kwa urahisi. Hapa tatizo ni watu wanafikiria matokeo ya haraka kuanza na 3. Maana ukianza na 3 hayo mengine itakuwa magumu kiyafikia na wimbi la umaskini litazidi kuendelea.
 
rudisha kwanza uhuru wa kuongea na rambirambi za wahanga bukoba hapo sawa.


swissme
Hilo la uhuru wa kuongea labda mlipiganie na za wahanga tumeingiza kwenye matumizi mengine ikiwamo kujazia tuwaletee lindege kwani tulipoleta vindege mlichonga sana.,kwanza wahanga wenyewe hata hawakutupigia kura."watajiju".
 
Ukianza na namba 1 na 2 utaweza kufanya namba 3 kwa urahisi. Hapa tatizo ni watu wanafikiria matokeo ya haraka kuanza na 3. Maana ukianza na 3 hayo mengine itakuwa magumu kiyafikia na wimbi la umaskini litazidi kuendelea.
Mmh!hiyo formula yako ngumu kumeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…