CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Mie napata tabu kureply
Habari wakuu...
Kila nikilog in napata hii message
JamiiForums Message
Invalid Redirect URL (https://www.jamiiforums.com/)
Inanilazimu nilog in mara ya pili ili nifanikiwe.
je tatizo ni nini???
Asanteni
Je tatizo limetokea lini? Mara ngapi? Je bado linatokea?
Je tatizo limetokea lini? Mara ngapi? Je bado linatokea?
Unatumia browser gani? unatumia firewall gani?
badala unitafute mumeo, jf sasa hivi imebadili sio http ni https, na since wewe umesave password yako wakati ikiwa http inashindwa kuredirect kurudi kwenye http wakati now ni https,
cha kufanya clear cache, cookies, na ondoa password kwenye browser kisha save upya
hata mimi tokea jana lazima ni login twice kwenye pc lakini ipad na cm iko poahabari wakuu...
Kila nikilog in napata hii message
jamiiforums message
invalid redirect url (https://www.jamiiforums.com/)
inanilazimu nilog in mara ya pili ili nifanikiwe.
Je tatizo ni nini???
Asanteni
mbona mimi sijasave passwod kwenye browser?????????hili tatizo limeanza tangu last week jf ilipoanza kutumia ssl certificate na linawakumba waliosave password zao kwenye browser
kutakuwa na cache ya JF kwenye history, we fanya kudelete cookies, cache utaona hakuna tena tatizo kama hilombona mimi sijasave passwod kwenye browser?????????
badala unitafute mumeo, jf sasa hivi imebadili sio http ni https, na since wewe umesave password yako wakati ikiwa http inashindwa kuredirect kurudi kwenye http wakati now ni https,
cha kufanya clear cache, cookies, na ondoa password kwenye browser kisha save upya
Habari wakuu...
Kila nikilog in napata hii message
JamiiForums Message
Invalid Redirect URL (https://www.jamiiforums.com/)
Inanilazimu nilog in mara ya pili ili nifanikiwe.
je tatizo ni nini???
Asanteni
Basi itakuwa maradhi ya kuambukiza haya ,maana hata mie hali ndio hioyo hiyo ,uko chini kuna mdau kaposti tiba fanya tuinywe tupone!Habari wakuu...
Kila nikilog in napata hii message
JamiiForums Message
Invalid Redirect URL (https://www.jamiiforums.com/)
Inanilazimu nilog in mara ya pili ili nifanikiwe.
je tatizo ni nini???
Asanteni
Nimeclear cache, cookies na password but bado inafanza kama awali!!!!!!!!