Napata sana kiu ya maji wakati wa usiku

kyemo

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
570
718
Sijaelewa ni kwa nini kila nikilala nitastuka kabla ya asubuh iwe mara moja,mbili au tatu nakuwa nasikia kiu ya maji sana.Yani ile kiu balaa kias siwez vumilia lazima ninywe maji ata funda moja.Mara nyingi haipiti masaa mawili baada ya kulala lazima niamke nikiwa nasikia kiu. Hali hii haikuwepo miaka ya nyuma na ata km ilikuwepo sio kwa kiwango cha hivi karibun. Ndani ya mwaka huu naona imezidi.
Mara nyingi hii hali inanitokea,naweza sema mara 4/5 kwa wiki.

Note:wala sitok jasho usiku kusema napoteza maji mwilini,hapana.Na pia ni mnywaji mzuri wa maji wakati wa mchana.

Mwenye kujua tafadhal kama ni tatizo na jinsi ya kulikabili.
 
Sasa kama unakunywa maji mchana hutaki usiku unywe maji wakati wewe ni binadamu hai au binadamu hatakiwi kunywa maji usiku?.
nimezungumzia kiu inayopitiliza,yani nikistuka had koo na mdomo vyote ni km vimekauka.Yani siwez kurud kulala bila angalau funda moja la maji.Yani nakuwa na kiu ya hatar had ni km nahis ukame kwenye koo na kinywani.Na ubaya ni kwamba inakuwa ni muda mchache toka nimelala,approximate ndani ya masaa mawili au matatu.
 
Angalia pia aina ya maji unayotumia.

Kama unatumia maji yenye madini mengi, kwa mfano maji ya kisima moja kwa moja, kiu yake huwa kali sana.
Na hasa wakati wa usiku ukiwa umelala, kwa sababu shughuli nyingi za mwili zinafanyika ukiwa umelala hivyo maji hutumika sana wakati huo.
 
Duh!mnaoniambia sukari mnanitisha ss,maana mzazi wangu mmoja sukari ilimuondoa
 
nimezungumzia kiu inayopitiliza,yani nikistuka had koo na mdomo vyote ni km vimekauka.Yani siwez kurud kulala bila angalau funda moja la maji.Yani nakuwa na kiu ya hatar had ni km nahis ukame kwenye koo na kinywani.Na ubaya ni kwamba inakuwa ni muda mchache toka nimelala,approximate ndani ya masaa mawili au matatu.

Pima sukari mkuu wahi hospital
 
Back
Top Bottom