Junior mafia
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 264
- 352
Wakuuu msaada tafadhali,
Nina mwezi wa pili sasa Nina maumivu na kizungu zungu, kisicho Isha Hali hii ilinipata nikiwa usingizini ,nilihisi kichwa kina ganzi na maumivu makali ,ghafla nilistuka na nikajua ni ndoto lakin baada ya kurudi kulala sasa ndo ganzi ikaja kwa nguvu na nilihisi kuchanganyikiwa , niliona Hali ingekuwa mbaya zaidi nikakimbilia kituo Cha afya ili kujiokoa.
Nilipofika nikapimwa mararia, pressure na sukari lakin havikuwepo dk alirudia Mara 2 lakin hakuona chochote, nkawapigia ndugu waje pale kituoni kunipa kampan maana nilihisi ndo mwisho umefika ,
Dr.alinichoma sindano ambayo ilipunguza maumivu kichwani na kizungu zungu kilipungua , asubuhi nikaruhusiwa kutoka niliogopa kukaa hata kwangu maana naishi
Mwenyewe tulipfika ile Hali ilijirudia nikawa Kama nimechanyikiwa ,lakin baada ya muda nka kaa sawa ,siku zikaenda nikiwa nashindwa kupata usingiz kwa sababu ya hofu ,hapo ndio tatizo la kuumwa upande wa bega likaanza , mwili unakosa nguvu ,mstuko viungo kufa ganzi ikanibidi nirud mkoani nyumban, huku ofu ilipungua nikaenda kupima Tena hospital.
PRESHA ,iko kawaida
Sukari -haina shida
Wingi wa damu- Haina shida
Kuganda kwa damu - hamna shida
Protein kwenye damu pia iko sawa
Figo ipo sawa
Hapo niliwaza sana kilichokutwa Ni uti tu (nikaitibu nkapona)
Kwa sasa mwili unakosa nguvu, usiku nastuka Mara kwa Mara ,kichwa chepesi kanakwamba naanguka hiv presha ipo kawaida kila nikipima ,japo uzito ndio naona kidogo Ni tatizo
Lakin nahitaji msaada wenu wamawazo na matibabu pia natanguliza shukrani
#mzizi mkavu #Mshana jr