Kaka Nyani Ngabu,
hebu nambie, vijisauti kwako sio mzuka kiongozi?
jumatatu ya leo imekaa kama ijumaa lol
nashangaa unapoweka bango la mayowe yako hapa
Aminia mwana........,
kile kisauti, kikisindikizwa na vimacho vya kungu lol..
jumatatu ya leo imekaa kama ijumaa lol
si ndio maana nasema kuwa basi hata kma ni urongo......,
basi wewe nidanganye danganye tu.......,
jamani wengine sie mizuka ipo kwenye vijisauti lol...
bacha huwa wengine wanakuibia na macho maangavu hivi hivi
Yaani full kujiliza wakati hata hakuna la kujiliza
bacha kweli hainogi inakuwa kama mnapigana ngumi banani kweli kaka,
unajua kama ni kuibiana basi mlikuwa mmeshaanza kuibiana toka mnatongozana,
hapo mnafinalize wizi wenu tu,
kaka game ya kimya kimya siitaki hata kuisikia...lol...
sichelewi kutupa kule........
bacha kweli hainogi inakuwa kama mnapigana ngumi bana
Yaani kama vile hakuna unachofanya zaidi zaidi may be unamchafua
Inakuwa kama vile kila unachofanya kwake ni bure
May be hata hisia na wewe hana