Napasua Jipu.....pwaaaaaaaaaaaa

Napasua Jipu.....pwaaaaaaaaaaaa

Umeona eeeh....,

Ndo maana Mr. Rocky ninasisitiza kuwa,

heri nusu shari kuliko shari kamili mzee.......

Ila sasa mkuu bacha isiwe ile ya kukuibia bana
Miguno ambayo hata kama unakaa kwenye nyumba haina ceiling jirani aisikie
Sio wengine wanapiga kelele za mpaka mtaa wa tatu wanasikia
Halafu umepotea sana mkuu bacha
 
Last edited by a moderator:
mambo gani ya kuwapa majirani mfadhaiko maana sauti nyngne mmmh!

sasa ndugu, kama wewe huwa unafanya starehe zako kwa kuendeshwa na hisia za majirani,

pole sana......
 
Tubarikiwe kwasababu ya hii topic ya uzinzi uliyoleta hapa au tubarikiwe kwa lipi hasa?
Anyway...

Uongo mbaya wadau wangu,

yawezekana hizi zikawa ni hisia zangu tu,

lakini nimeona bora niseme...lol...

''Jamani najisikiaga raha sana, unapokuwa na mupenzi faragha (mtoto wa kike)

halafu akawa anakudatisha kwa vijisauti vya kujiliza wakati mna du....lol...,

yaani hata kama ni vya uongo, basi wewe nidanganye danganye tu......

Vinginevyo, vya kibubu bubu siviwezi mie...sichelewi kutupa kuleeeeee

mtanisamehe bure''

wahanga wenzangu, najua mpo,

kwa akina dada sijui hisia zao, labda nao wanaweza funguka........

Jioni njema, Mbarikiwe sana!!!!!!
 
Ila sasa mkuu bacha isiwe ile ya kukuibia bana
Miguno ambayo hata kama unakaa kwenye nyumba haina ceiling jirani aisikie
Sio wengine wanapiga kelele za mpaka mtaa wa tatu wanasikia
Halafu umepotea sana mkuu bacha

mmh....huyo sasa hata kudanganya hajui lol...
 
Tubarikiwe kwasababu ya hii topic ya uzinzi uliyoleta hapa au tubarikiwe kwa lipi hasa?
Anyway...

mbarikiwe kwa wale wote wenye kutoa miguno/mayowe.....kwani,

wahanga wa hayo makitu tumejaa hapa mjini lol...
 
Amina,,,, na nyie wanaume mturidhishe miguno na mayowe yawe ya kweli...
 
kiongozi ushawahi kudanganywa kwa miguno/mayowe?

Mmmh!!! kwanza hivi ukidanganywa unaweza kujua...??

Basi huwenda mimi huwa nadanganywa kila siku maana miguno ya kila namna huwa haiachwi kutolewa....
 
haha ha ha ha ha ha ha ha,

basi nikwambie kwa mazoea hayo, siku ukikutana na game ya kimya kimya,

ndo utaona kama unaibiwa sasa lol....
 
Nina rafiki aliwahi kwenda hotelini na mwanamke
hiyo misauti aliyoitoa ilisababisha watu vyumba vingine wawe wanazunguka corridor ya hoteli tu kusubiri wamune huyo mwanamke lol

si unaona sasa,

mimi nakwambia the BOSS, miguno ina raha yake bana,

si unaona umati wote huo ulivyopagawa...lol..
 
haha ha ha ha ha ha ha ha,

basi nikwambie kwa mazoea hayo, siku ukikutana na game ya kimya kimya,

ndo utaona kama unaibiwa sasa lol....

Teh teh!!!

Makelele wakati mwingine kuibiana tu...muhimu mtu acheue
 
Uongo mbaya wadau wangu,

yawezekana hizi zikawa ni hisia zangu tu,

lakini nimeona bora niseme...lol...

''Jamani najisikiaga raha sana, unapokuwa na mupenzi faragha (mtoto wa kike)

halafu akawa anakudatisha kwa vijisauti vya kujiliza wakati mna du....lol...,

yaani hata kama ni vya uongo, basi wewe nidanganye danganye tu......

Vinginevyo, vya kibubu bubu siviwezi mie...sichelewi kutupa kuleeeeee

mtanisamehe bure''

wahanga wenzangu, najua mpo,

kwa akina dada sijui hisia zao, labda nao wanaweza funguka........

Jioni njema, Mbarikiwe

Kuna jamaa alikua anakula mzigo miuno ya kufa mtu amdatishe dem....wakat dem ndio kwaaaanza anachana nywele.
 
Uongo mbaya wadau wangu,

yawezekana hizi zikawa ni hisia zangu tu,

lakini nimeona bora niseme...lol...

''Jamani najisikiaga raha sana, unapokuwa na mupenzi faragha (mtoto wa kike)

halafu akawa anakudatisha kwa vijisauti vya kujiliza wakati mna du....lol...,

yaani hata kama ni vya uongo, basi wewe nidanganye danganye tu......

Vinginevyo, vya kibubu bubu siviwezi mie...sichelewi kutupa kuleeeeee

mtanisamehe bure''

wahanga wenzangu, najua mpo,

kwa akina dada sijui hisia zao, labda nao wanaweza funguka........

Jioni njema, Mbarikiwe sana!!!!!!
mkuu mimi akinipigia mayowe mfululizo bila stop engine, hatutaelewana kabisa!
nikiona vip nambana mdomo kidogo na pua ili mradi nipate kuskia stop engine ikifanya kazi na si mayowe mwanzo mwisho!
raha ni mtu ujue hapa yupo gear gani? lazima ujue hapa yuko namba moja ya kupandia mlima ama number 2,3,4 za tambarare? inasaidia kujua u-balance vip mafuta, ama?
 
Back
Top Bottom