Sina muda mrefu humu jukwaani na bado hata rafiki sina lakina napaona nyumbani. Na kwa maisha ninayoishi kwa sasa jf imekuwa sehemu kubwa ya kampani yangu
Kwa yoyote ambaye angependa kuwa rafiki na mimi namkaribisha
Unaishi wapi?
Ushaoa?
Nani alikuelekeza njia ya kuja Jf?
Miela yako unawekaga Bank au hom?
Ulishawahi kufungwa jela?
Kama bado kwa nini ?
Kama tayari kwa kosa gani ?
Ulishawahi kufumaniwa?
Uko chama gani?
Ulisha ...........
Ngoja niende chooni kwanza nikitoka libeneke linaendelea
Unaishi wapi?
Ushaoa?
Nani alikuelekeza njia ya kuja Jf?
Miela yako unawekaga Bank au hom?
Ulishawahi kufungwa jela?
Kama bado kwa nini ?
Kama tayari kwa kosa gani ?
Ulishawahi kufumaniwa?
Uko chama gani?
Ulisha ...........
Ngoja niende chooni kwanza nikitoka libeneke linaendelea
Ukimaliza kunya hakikisha unaflash na maji mengi, hata usipotawaza ni juu yako!!
Sana tu, hiyo ni kuwa na mtu kasoro kuonana tu