salome peter
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 379
- 271
Foto iko wapi?Nimependa madirisha yake safi sana
Nimeashumu [emoji4]Foto iko wapi?
Are you kidding me?Nimependa hiyo milango yake
Nimependa madirisha yake safi sana
Hii Nyumba ni Nzuri sana aisee,Wandg natumaini mpo salama.
Napangisha nyumba Dodoma mjini eneo Area E brbr ya area D jirani sana na Tanzanite Lodge, ni nyumba yenye mpangilio mzuri waweza kufanya ofisi au makazi, mimi mwenye nyumba naishi Morogoro nilihamia kikazi. Contact zangu ni 0783 65 65 54 , 0713 65 65 54 na 0766 65 65 54 siyo dalali ni mwenye nyumba
[emoji102] [emoji101]Are you kidding me?
Huwezi kutangaza biashara ya nyumba bila picha au hujui kanuni za humu ndani. Hizo ni keleji aweke pichaAre you kidding me?
We weka picha mdahalo wa nini , namba za simu tukiiona sio tukupigie ndio utupe au huna uhalali wa umilikiAtakaehitaji atanitafuta ndio tutaonyeshana picha na ndio maana nimeweka namba za simu kwani najua si wote humu watahitaji
Hana nyumba huyoWe weka picha mdahalo wa nini , namba za simu tukiiona sio tukupigie ndio utupe au huna uhalali wa umiliki
Sasa,kwa nini hutaki kuweka picha?Unaogopa tutaiiba?Ndg huku natangaza tu atakaehitaji namba zipo atanipata na picha atapata mimi sio dalali ni mwenye nyumba, ndg unaesema sina nyumba usihukumu usichokijua anaehitaji anitafute
Ooooookay!Hongera.Anaetaka atanitafuta na bila hivyo pia bado wahitaji wapo wengi ambao hata bila kupitia huku watapatikana tu so far aliopo atatoka Feb ofisi nyingi zinaendekea kuhamia kule nyumba ni nzuri itajitangaza tu isikupotezee muda kwa kutaka picha
"Azandi sana"!Karibu