daisyvicky
JF-Expert Member
- Sep 22, 2012
- 343
- 198
chumba kikubwa na kizuri..madirisha mawili and gypsum..umeme upo pia plus godoro jipya la 4*6 kwa bei nzuri..room ni elfu 40 kwa mwezi kinawafaa pia wanafunzi wa udsm ni jirani na chuo.karibuni
Msewe sehemu gani kaka? Hakuna chumba chenye choo ndani?
hapa nyuma ya udsm...choo ni cha kushea watu watatu..pazuri
Kwa bei hiyo ilitakiwa iwe self
Unapatikanaje sasa,
Kwa bei hiyo ilitakiwa iwe self