Napangisha chumba self conteiner maeneo ya Banana - Ukonga Dsm

Napangisha chumba self conteiner maeneo ya Banana - Ukonga Dsm

ndugu yako

Senior Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
193
Reaction score
97
Habar zenu wakuu, mwishoni mwa mwezi wa saba nilipata chumba cha Self contained maeneo ya banana Ukonga, ila kwa bahati mbaya nimepata uhamisho wa kikazi hivyo basi natafuta mtu atakayeweza kupanga hicho chumba na kunirudishia pesa yangu.
Chumba bei ni elfu 45 kwa mwezi (hakuna malipo ya dalali) chumba ni Self contained , chumba kina umeme, chumba hakina seilingboard na hakijapakwa rangi, maji yapo karb na ni mwendo wa dakika 3-5 kutoka kituo cha daladala cha Banana!!!
Kwa anayekihitaji ani-pm!
 
Nmempata jamaa mmoja, nimempa namba yangu anitafute but naona kimya mpaka sasa hivi!!
 
Kama kuna mtu wa haraka anitafute (pm) ili tuongee biashara kwa sababu wikend ijayo naondoka Dar!!
 
Mkataba wangu ulikuwa unaanza tarehe 01/08/2014, so atakayepatikana tunahesabiana siku!!
 
Habar zenu wakuu, mwishoni mwa mwezi wa saba nilipata chumba cha self conteiner maeneo ya banana Ukonga, ila kwa bahati mbaya nimepata uhamisho wa kikazi hivyo basi natafuta mtu atakayeweza kupanga hicho chumba na kunirudishia pesa yangu.
Chumba bei ni elfu 45 kwa mwezi (hakuna malipo ya dalali) chumba ni self conteiner, chumba kina umeme, chumba hakina singboard na hakijapakwa rangi, maji yapo karb na ni mwendo wa dakika 3-5 kutoka kituo cha daladala cha Banana!!!
Kwa anayekihitaji ani-pm!

self conteiner ni kitu gani?
 
Self contained hakina rangi wala seilingboard.....hakina rangi ipi?
 
Ww ulipangisha hiyo nyumba? Kijijini naweza kuishi nyumba ya aina hiyo ila sio hapa mjini, labda km ni yangu kuwa nitamalizia nikiingia kuepuka adha ya kupanga
 
Back
Top Bottom