Naozesha binti

Naozesha binti

Shaycas

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2009
Posts
906
Reaction score
112
Kwa anayehitaji binti mrembo,msomi na mcheshi awasiliane nami haraka.yupo mmoja tu.
Sifa za muoaji:asiwe mbaguzi wa aina yoyote eg dini,kabila etc
 
Chema chajiuza, kibaya chajitembeza..... upo hapo? Angekuwa ana sifa za kuwa mke, usingehitaji kumpiga mnada kama mbuzi.
 
ozesha tu!
kwani huyo binti ni mbaya kiasi gani hadi utuambie?,lol
 
Anaweza akawa mbaya wa sura lakini vingine vikawa vizuri. Ngoja nijaribu bahati yangu nidumishe Mila!
 
Kwa anayehitaji binti mrembo,msomi na mcheshi awasiliane nami haraka.yupo mmoja tu.
Sifa za muoaji:asiwe mbaguzi wa aina yoyote eg dini,kabila etc
...Ooooops chagua cheupe, cheusi ukiokota chekundu umeliwa!!!!
 
lah! hii kweli ni yakufungia mwaka duh, ingekuwa mke ndio anapatikana hivyo basi ingekuwa ni balaa kila kukicha
 
Mbona umetoa sifa ambazo haziusiani kabisa na mke??? Umesema mrembo, msomi na mcheshi kwani umesikia watu wanataka kuoa airhostess ama receptionist wa Serena Hotel???

Hebu tupe taarifa za msingi, ili kina Xpin waweze kufanya maamuzi ya busara! Je amewahi kutumika au used???
 
Yeye ana sifa gani kuonana na rijali kama mimi? Mwaga sera kwani umeamua kumnadi sokoni.
 
Kwa anayehitaji binti mrembo,msomi na mcheshi awasiliane nami haraka.yupo mmoja tu.
Sifa za muoaji:asiwe mbaguzi wa aina yoyote eg dini,kabila etc
Mimi nina ubaguzi wa kitabia
 
Mbona umetoa sifa ambazo haziusiani kabisa na mke??? Umesema mrembo, msomi na mcheshi kwani umesikia watu wanataka kuoa airhostess ama receptionist wa Serena Hotel???

Hebu tupe taarifa za msingi, ili kina Xpin waweze kufanya maamuzi ya busara! Je amewahi kutumika au used???

Mkuu umekula senksi kwa kujali maslahi yangu. Babu yangu alikuwa na wake wa nne, nami napaswa kudumisha mila!
 
Wewe Unataka kuwauzia watu mbuzi kwenye gunia???????????????
 
Back
Top Bottom