Naota ndoto maridhawa.....

Soo sweet, huyu aliyevaa nguo nyeusi katikati amefunika angeonyesha na sura ingekuwa picha limekamilika..Hapo sijui ndoto itakuwa ya namna gani..
 
Soo sweet, huyu aliyevaa nguo nyeusi katikati amefunika angeonyesha na sura ingekuwa picha limekamilika..Hapo sijui ndoto itakuwa ya namna gani..
ndenga ... wewe njaa tu ndio zinakokusumbua
 
Midude kama hiyo imekuweka kati na unapata usingizi na ndoto juu, ..........................duh kumbe watu wana tofauti?
 
Boflo Boflo...inakuwaje mtoto wa kiume unachanganywa na kina dada?
 
bofloooo.......................inaelekea umesahau wasifu wako yaani wawe wamelala kabisa na full nguo!
 
Soo sweet, huyu aliyevaa nguo nyeusi katikati amefunika angeonyesha na sura ingekuwa picha limekamilika..Hapo sijui ndoto itakuwa ya namna gani..
lazima awe kaota maruwe ruwe na mang'amung'amu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…