Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 3,561
- 4,537
Hio ni Onyo. Nakushauri ujitahidi kuwa mwangalifu zaidi unapopanga na unapotekeleza Mipango yako.. Usiwe unatanguliza Hofu ya kushindwa bali jipe moyo kwamba "Hii ngoma safari hii ninaenda kutoboa"Ni kweli.nasumbuliwa na hofu ya kushindwa.napambana nayo
Halafu usiwe mwepesi kuwaeleza watu Mipango yako ya kimaendeleo -kumbuka sio wote wanapendezwa na Mafanikio yako.