Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,249
- 13,245
- Thread starter
- #41
Sawa mkuuKemea hajali hiyo isitokee na omba Mungu hahizuhie
Sawa mkuuKemea hajali hiyo isitokee na omba Mungu hahizuhie
Kitu halisi, yaani kupanda kwenye mnazi na kutungua nazi n.k.
Mimi nilikuwa nakwea minaza na kuota ndota kama yako ndiyo maana nikakuuliza.Hapana.wala sijawahi
Hiyo ndege ibebe watu wa tunguuInajirudia Kila baada ya muda
Ndege ni kubwa sana ya abiria.kama hizi za mashirika makubwa hizi Boeing
Inapoteza muelekeo na kuangukia kuelekea chini na mlipuko wake mkubwa hauachi kitu.
Ni zaidi ya mara moja
Sielewi