Naota kumpata Jamiiforums member to be my man

Kubali kukabiliana na changamoto,kwanza akishaona hii thread hatayaleta.
 
Siyalet ucjari... i gat my privace en I knw how to hide all pain... pm me fastaa
 
Hahaaa mkuu Nazjaz ...
ukimuudhi lazima akuripoti alipokutoa ili tukurekebishe , hata akikuacha atakurejesha huku alipokutuo na atakabidhi talaka kwa njia ya thread .
 
Last edited by a moderator:
you are not a gentleman. Angalia unavyoandika Kama kivulana cha shule ya kata

Una matatizo wewe inaonekana ni bibi wewe over 30 unatafuta wa kufa nae.. kweli im still young kimtindo... then uandishi uo umetokana na grlz nlokuwa nao vtoto vdogodogo vibichiii samahan bibi
 
Una matatizo wewe inaonekana ni bibi wewe over 30 unatafuta wa kufa nae.. kweli im still young kimtindo... then uandishi uo umetokana na grlz nlokuwa nao vtoto vdogodogo vibichiii samahan bibi

ha ha ha ha ha..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom