Naota chama kipya cha siasa!

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,668
13,237
Ni ndoto ambayo huwa natamani siku moja itokee.

Naombea ccm imeguke vipande vipande kizaliwe chama kipya. Naombea wanajiita wapinga ufisidai wachomoke CCM na kuunda chama kipya ambacho kitaitwa chama cha kitaifa.

Nasubiri anguko kuu la CCM. Kuna mwenye mawazo tofauti na yangu?.......
 
yaani wewe mpaka leo unawatamani hawa wazee wa CCM....WATAKUJA KUUNGAMIZA UPINZANI KAMA ALIVYOUDIDIMIZA MREMA, kweli upinzani wa kweli haufahi kujengwa na watu kutoka chama tawala maana watakuja na kanzu mpya wakati watu ni walewale.
kuweni waangalifu wandugu.
 
huoti , ni kweli, but its a process which will take seven months or so. de jure chama ni kimoja de facto kuna vyama zaidi ya vitatu ndani ya ccm, just note events za hivi karibuni.
 
Imani peke yake bila matendo, haina faida yoyote... Watanzania sidhani kama kweli wanapenda kujikomboa kisiasa... Ile hali walio kuwa nayo wale wazee waliopigana na mkoloni kwa bahati mbaya imeshindikana kurithika kwa watoto na wajukuu zao.
 
Ni ndoto ambayo huwa natamani siku moja itokee.Naombea ccm imeguke vipande vipande kizaliwe chama kipya.Naombea wanajiita wapinga ufisidai wachomoke ccm na kuunda chama kipya ambacho kitaitwa chama cha kitaifa.Nasubiri anguko kuu la ccm.Kuna mwenye mawazo tofauti na yangu?.......
''Mvumilivu hula mbivu.....ila mvundika mbivu hula mbovu''

umelala masaa mangapi! maana ndoto zingine zinategemea na muda uliolala ndio ndoto iwe na maana ..otherwise isije ikawa ni ndoto ya kumeguka kwa ndoa yako>>!
 
umeniquote vibaya mkulu,huo ni mtazamo wa kisiasa tu ndugu yangu usiende mbali kiasi hicho au kama imekuchoma sana usiichomoe kwa maneno mepesi niambia nikucholee mwenyewe,kwa maana ya kwamba hutaki ccm ivunjike vipande vipande ungekuwa wazi.Ni vipi uingilie mpaka mambo ya ndoa yangu mkulu.Heshima ni kitu cha bure kwa hiyo ni suala la kuamua kuheshimu wenzio kwani haina gharama yoyote.

Tupo pamoja..........tumevumilia sana sasa tumechoka,

umelala masaa mangapi! maana ndoto zingine zinategemea na muda uliolala ndio ndoto iwe na maana ..otherwise isije ikawa ni ndoto ya kumeguka kwa ndoa yako>>!
 
Ni ndoto ambayo huwa natamani siku moja itokee.Naombea ccm imeguke vipande vipande kizaliwe chama kipya.Naombea wanajiita wapinga ufisidai wachomoke ccm na kuunda chama kipya ambacho kitaitwa chama cha kitaifa.Nasubiri anguko kuu la ccm.Kuna mwenye mawazo tofauti na yangu?.......
/quote]
Duu hata mimi natamani sana ndoto za mchana maana zinapendeza sana kuliko za usiku
 
Ni ndoto ambayo huwa natamani siku moja itokee.

Naombea ccm imeguke vipande vipande kizaliwe chama kipya. Naombea wanajiita wapinga ufisidai wachomoke CCM na kuunda chama kipya ambacho kitaitwa chama cha kitaifa.

Nasubiri anguko kuu la CCM. Kuna mwenye mawazo tofauti na yangu?.......

Kuota tu peke yake haitoshi!
 
nenda mbele zaidi mazee kipi kinatosha sasa.......ndo maana mchango wako ni muhimu we si unajua mkono mtupu haulambwi?..........
 
Back
Top Bottom