Naona yamefika mwisho

Chapakila

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
291
Reaction score
1,440
Nina mchumba nipo nae mda na nna mipango nae japo bado sijamuonyesha yet ila nimeridhika nae. Mimi ndie niliemtoa sield/kufungua njia na ni mda mda ka miaka mi3 nyuma ndo nlitunukiwa iyo zawadi.

Tupo mikoa tofauti na kazi zimetubana so show azipigwi as before hatujaonana ka miezi mitano inaelekea sita sasa. Ni mwaminifu na namuamini tunaminiana (Najua mtaguna na kusema kimoyo maneno kadhaa ila ni kweli anajisitiri na kujiheshimu na kunitunzia heshima mimi). Sasa tatizo ni hili waungwana,
Katika mazungumzo yetu akafunguka kua ajawai hisi ivi sijui ni hizo hamu zinasababisha kaniambia for the first time anataman kulala na mfanyakaz mwenzie. Hamtamani kuwa mpenzi wake no ila akimuona tu anataka kumpa aichape. Kwa kua alifunguka mi nkamshauri kua asiwe karibu nae au kukubali waende wote awhwmu za starehe japo moyoni najua hii ni red alert kama bado ajachapwa basi atachapwa tu .
Sijui kwa wengine mtalichukuliaje ila mimi binafsi tayari naona disco kaingia mmasai mbaya zaidi yupo nyanda za kaskazini kikazi ni nipo kusini so you can tell why tumekaa mada bila kuonana na had likizo maybe ndo mmojawapo anaweza mfata mwenzie.
Naombeni mnishauri ni kitu serious sio mzaha Mimi hadi sasa nipo ready for anything na nisha anza kubadili mawazo kuendelea Kua nae.
 
Ashkum c matusi..Kuchamba kwingi kutoka na mavi.

Mnachunguuuuuuzaaa,mnasubiriaaaaanaaaa,mwisho wa siku kutahamaki muda umeenda

Fanya maamuz sahihi muoe msitiri zaid ili asipate vishawishi kama kweli anajitunza kama usemavyo
 
Tatizo alichonieleza kua akimuona uyo mtu anatamani tendo huoni lolote laweza tokea?
 
"...bado sijamuonyesha yet...."

Magu akiboronga mnasema,ila nyie ruksa au sio?
Ni dhairi msichana akijua mapema una malengo nae lazima atakusaliti tu hili kila mwanaume analifahamu na awez fanya mistake iyo.
 
Mnakoelekea itakuwa demu ako akija likizo kwako,kabla ya kuondoka kurudi kazin tena,anakupa box zima la kondom afu anakwambia just incase babe,utajilinda,

***** ndo utajua nyie ni wachumba au mnachumbishana.
 
Hahaha iyo kwenye movie sio hapa bongo.
 
Mnakoelekea itakuwa demu ako akija likizo kwako,kabla ya kuondoka kurudi kazin tena,anakupa box zima la kondom afu anakwambia just incase babe,utajilinda,

***** ndo utajua nyie ni wachumba au mnachumbishana.
Hata kama hamu zimemshindwa ndo aniambie akimwona uyo msela anatamani apanue ipigwe pump
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…