Lakini mbna kwangu wamenambia inategemea uthibitisho kutoka chuoni au kwenu vipi?
Kwangu pia imeandika hivyo hi yo,lakini sina wasiwasi kwasababu ndio dalili ya kuchaguliwa.alafu wameongeza deadline mpaka 24/10
Hayo maswala ya confirmation watajua wao. Siku ya kufungua ikifika me nabeba vyeti na kila kitu naenda chuo. Hiyo confirmation itajulikana huko huko.
plz uskulpuke itakula kwako!!
Hakuna kitu kama hicho,kama umekua selected, alafu umeandikiwa subiri confirmation from institute/college.at the same time jina lako umeliona kwenye firstly batch ya chuo.hapa kuna mini sasa?inamaana mtu ushachaguliwa,ni kureport tu

Je kama jina lako halijaonekana kwny batch lkn kwny prf upo select[/QUOTE
Wasiliana na ulipokua selected kabla ya Ku report
usjalb kwenda chuo