Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,590
- 28,761
Namuona mheshimiwa "Ayubu" wa Mjengoni pale kaamua kuruka Sambasoti kabisa.
teh teh teh
Kuanzia uvccm hadi kamati kuu wote wanacheza makirikiri ya Lissu bila kupenda.
Uchaguzi wa chini ya Tume hii au inakuja tume maalum kutuko nje ya nchi??Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu utatoa picha ni kwa jinsi gani safari ya Lissu imevisaidia vyama vya upinzani.
Natumaini mabingwa wa kuandika kwenye mitandao tutarejea kufanya tathmini kwa uwazi zaidi kuliko mbwembwe, kebehi na kila aina ya lugha inayotumika kuwakilisha mawazo na hisia kali na nyepesi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa ajabu kama ungetoa hoja tofauti na hiyo.Uchaguzi wa chini ya Tume hii au inakuja tume maalum kutuko nje ya nchi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Weweee kuna uchaguzi Tanzania?Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu utatoa picha ni kwa jinsi gani safari ya Lissu imevisaidia vyama vya upinzani.
Natumaini mabingwa wa kuandika kwenye mitandao tutarejea kufanya tathmini kwa uwazi zaidi kuliko mbwembwe, kebehi na kila aina ya lugha inayotumika kuwakilisha mawazo na hisia kali na nyepesi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nashangaa!
Vifungu gani by sheria kanukuu??Nimerudia kumsikiliza Lissu na Masilingi kwny mahojiano. Lissu majibu yake yalikuwa yakiambatana na quotations za vifungu vya sheria, while Masilingi alikuwa akijibu tu km makuli wa Kariakoo. Hakuna haja ya kupeleka mabalozi kwenda KUAIBIKA vile!
Pumba wewe sasa mbona huwa mnashiriki???? Si muache CCM iwe inashinda bila mpinzani kwani huwa mnalazimishwa!!!Uchaguzi wa chini ya Tume hii au inakuja tume maalum kutuko nje ya nchi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo kura alizopata Lowasa zilitangazwa na tume ya wapi?Hata mimi nashangaa!
Kwa tume gani hii yenu ya kipuuzi mnaopika matokeo chooni amaUchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu utatoa picha ni kwa jinsi gani safari ya Lissu imevisaidia vyama vya upinzani.