Naona Sebene Limekolea mitaa ya Lumumba

Naona Sebene Limekolea mitaa ya Lumumba

Nimerudia kumsikiliza Lissu na Masilingi kwny mahojiano. Lissu majibu yake yalikuwa yakiambatana na quotations za vifungu vya sheria, while Masilingi alikuwa akijibu tu km makuli wa Kariakoo. Hakuna haja ya kupeleka mabalozi kwenda KUAIBIKA vile!

Lissu tu anamtoa knockouts, hivi akikaa na mabeberu wanaotaka rasilimali zetu inakuwaje!?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hajahahahahahahaaaa sijajua kati ya cdm na ccm nani anacheza ngoma anayopiga mwenzake na ccm huwa wanawatwist chadema watakavyo wanawapa agenda wanawapokonya wanajifanya kuitatua wanawaacha wakiwaona wamekaa saaana kimya wanawaminya kidogo wanashtuka wakiona hawashtuki wanakuja na muswada wa vyama vya siasa wanajamba wakiongelea mswada wanawaletea korosho hawajamaliza korosho anatekwa mtu sa nane mchana shortly chadema ndio wanacheza midundo ya ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu utatoa picha ni kwa jinsi gani safari ya Lissu imevisaidia vyama vya upinzani.

Natumaini mabingwa wa kuandika kwenye mitandao tutarejea kufanya tathmini kwa uwazi zaidi kuliko mbwembwe, kebehi na kila aina ya lugha inayotumika kuwakilisha mawazo na hisia kali na nyepesi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hamna uchaguzi Tanzania,
 
Uchaguz ule ule wa kuruka "sambasoti" kuondoka na masanduku na baadae yanarud yakiwa na kura au tusubir uchaguz mwingne??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu utatoa picha ni kwa jinsi gani safari ya Lissu imevisaidia vyama vya upinzani.

Natumaini mabingwa wa kuandika kwenye mitandao tutarejea kufanya tathmini kwa uwazi zaidi kuliko mbwembwe, kebehi na kila aina ya lugha inayotumika kuwakilisha mawazo na hisia kali na nyepesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikulipe mshahara mimi,gari nakujazia mafuta,kodi ya nyumba nalipa na maposho mengine nakulipa halafu uende kumtangaza mbunge wa upinzani?-Unajua nani alisema hayo maneno.

Eti bado unajidanganya kuna uchaguzi wa haki hapo.
 
Hajahahahahahahaaaa sijajua kati ya cdm na ccm nani anacheza ngoma anayopiga mwenzake na ccm huwa wanawatwist chadema watakavyo wanawapa agenda wanawapokonya wanajifanya kuitatua wanawaacha wakiwaona wamekaa saaana kimya wanawaminya kidogo wanashtuka wakiona hawashtuki wanakuja na muswada wa vyama vya siasa wanajamba wakiongelea mswada wanawaletea korosho hawajamaliza korosho anatekwa mtu sa nane mchana shortly chadema ndio wanacheza midundo ya ccm

Sent using Jamii Forums mobile app

Makonda muangalie anatumia pesa za serikali vibaya anazunguka na wasanii kisa anajua wengi wao vichaa ili wapite kutangaza uzur wa reli mtu kama babu tale anasifia mapori ikifika mda wa kushoot nyimbo ya diamond wanaenda south wanaacha mapori yetu kama yalivyo na huu ujinga eti atakua anatafuta hoja ya kumzima jamaa aliye ulaya kimatibabu na ziara zake

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimerudia kumsikiliza Lissu na Masilingi kwny mahojiano. Lissu majibu yake yalikuwa yakiambatana na quotations za vifungu vya sheria, while Masilingi alikuwa akijibu tu km makuli wa Kariakoo. Hakuna haja ya kupeleka mabalozi kwenda KUAIBIKA vile!
Akiweka nukuu za viongozi kina jiwe kuitia nyama hoja yake. Mashilingi analia lia tu
 
Back
Top Bottom