Hujasema....maana hata kunya ni raha
oohoo, welcome aboard! You are growing up!!!!!. Hongera sana. Kick your shoes, na ukiona picha ina blurr, dont frown, just change the viewing angle. Ok?Thnx. Nimefika tu a point na kutambua some things we just complicate, they are not that complicated. I am relaxed and feel so good.
Afu kuna raha flani ukiwa nayo unakuwa cloud 7. Haujali hata kama watu wamekuelewa wala nini, you become invisible!
Haya mwaya jienjoy. Raha ya milele umpe eeeh Bwana, ila mwanga wa milele usimuangazie manake haja-RIP
Ninajisikia raha hadi nahisi nina uwezo kabisa wa kupaa, I wish I could be able to stop time kama Kaunga alivyo suggest.
Maana ya kuanzisha thired hapa ni kwa ajili ya kushare na kujifunza na wenzako, sasa wewe mleta mada hakuna ulichokifanya kati ya hivo so bora ungefurahizako kimoyomoyo