[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa pesa ikiisha si wataondoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta pesa nyingi, nunu ka byb walker, ikifika usiku uwe unapitia kwenye bar zinazofunga late sana then unabeba barmaid unayemtaka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa pesa ikiisha si wataondoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakufa sio kuzeeka tu.Habari za mda huu wakuu wana MMU natumai mu wazima na mnaendelea vyema kuijenga Tz ya viwanda.
Tikiwa tunaendelea kufarijiana na msiba wa dada yetu kipenzi J. Magufuli naomba nowape kisa changu, kabla ya yote naomba ku declare interest kuwa mm ni kijana wa kiume mid 20s na stori yangu inatokana na kupungua kwangu kwa uactiveness wa mambo ya mahusiano
Miaka kadhaa ilopita wakati nasoma o level na a level + mwaka wa kwanza chuo nilikua active sana kwenye mitongozo sikuwahi kuchezea fursa hata siku moja, nilikua najikubali sana linapokuja suala la kutongoza hata demu awe mkali kiaje na kama ilivyo ada ya utongozaji sheria namba 17 kifungu cha 3b "kwenye kutongoza kuna kupata na kukosa so never be disappointed ukimkosa demu ni sehem ya mchezo" Mwisho wa kunukuu. Kutokana na hivyo niliwapata wengi na kuwakosa wachache hata kama sina mia mfukoni.
Sanjali na hayo pia nilikua mtaalam wa kubambia niwapo disco na pindi niendapo bar nilijua kuwaopoa wahudumu vizuri tu kwakweli nilikua kijana machachari sana.
Pia katika uvaaji sikua nyuma nilijua kuvaa vizuri japo sikuwahi kuvaa nguo za gharama kubwa kutokana na hali ya uchumi. Hivyo nilijipenda kadri hali ilivyruhusu.
Sasa tatizo langu lilianza nilipoingia mwaka wa tatu chuoni: Nilikua mzito kumsimamisha demu achilia mbali kutongoza hata ikitokea nimekaa na demu ilikua ngumu ku initiate conversation. Nilipojitahidi kumsimamisha demu na kumwongelesha sikufika mbali make nikijibiwa fyongo mara moja naamsha namuacha demu huku nikitukana moyoni. Hali hii imeenda sanjari na kwa mabar maid ambao nao sina tena maujanja ya kuwatokea hta niwe na milioni mfukoni. Hali hii imenifanya niishi miez mingi bila kugegeda japo sina kadi ya chaputa. Mwanzoni sikuona tatizo maana nilidhani sijapata soulmate wangu na mda ukifika ntampata nilienda mbali zaidi kwa kujipa moyo kuwa madem wa chuo wa kazi gani (nahisi hii ilikua defensive mechanism)
Tatizo hili limeendelea mpaka nimegraduate chuo na mda huu nko mtaani ila naona hali ni ile ile. Toka nije kitaa nimekua domo zege wa hatari naogopa kuwatokea madem na nikiwatokea hatufikii muafaka yani ni full frustration.
Mwisho kabisa najua humu kuna wataalam wa saikolojia pamoja na wadau mbalimbali wenye experience na haya mambo, naombeni mnishauri je hii hali imetokana na nini maana mi sielewi na nifanyeje ili kuondokana na hii hali make inanitesa sana naona kama nazeeka bado kjjana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu lakini kuoa ni process so inabidi kujiandaa mapema.Hiyo ndiyo fursa ya kujijenga, hlf at the age of 20s unawaza habari ya kuoa kweli?
Safi sana mkuu kama hutojali mwagika yote ili nipate la kujifunza. Kuhusu kujibizana vibaya na baadhi ya wachangiaji ni kutokana na majibu yao ya kuudhi ambayo yako nje ya mada hivyo kunipelekea kupanic lakini sio case coz sometimes shits do happen.kikubwa ni kusaidizana kimawazo ili niweze kujikwamua na hali hii.Nadhani kwa umri ulio nao sasa yafaa zaidi uwe na kazi ya kukupatia kipato cha kutosha maana wanasema pesa ni sabuni ya roho itakupatia full confidence. Pili sina hakika sana, kwenye mada yako hujasema kama unahitaji mchumba ambaye baadaye awe mke.Of which ningekushauri kwa imani yoyote uliyonayo hasa kidini fikiria kupata mke na sio kuchezea ujana. Mada yako yaonesha pia wewe ni mzoefu mkubwa na umezifunua nyingi sana mpaka za mabarmaid so you can imagine how expert you are, je, ushaona zinapishana radha utamu vionjo namna yoyote.? Kisayansi wanasema radha kila mtu anayo; mfano wale wenye kadi za kudumu za CHAPUTA, wazee wakupiga puli wanafika vizuri tu tena kuzidi hata akiwa na wa jinsia tofauti yake. Ninazidi kupata maswali zaidi kwamba yaweza kuwa kipindi kile unachodai ulikuwa so active on those issues ya kwamba umekuwa inflicted with some demons on your head unknowingly and now you are paying the price. I mean, let's be honest here maana umeomba tukushauri japo povu toa tu sindano lazima upewe. Look, I'm just trying to analyse your situation that's why... So, if you dig in you gonna find what am saying. Wewe umetembea na wanawake wa kila aina, umesema mwenyewe hapa. I don't know maybe walikuwa wake za watu, wachumba za watu etc. I'm coming to the point.., kwamba ukifanya hivyo mara nyingi you are most likely to get what you are experiencing right now. Baadhi ya wanawake huwa na matatizo yao makubwa tu. Hapa nazama kiroho kizaidi kwamba baadhi ya wanawake wanaweza kukubalia kufanya hayo uliyoyafanya kwa malengo fulani and now you in trouble because you have been initiated already to the kingdom of darkness (Satanic). Nielewe taratibu hapa ndio najaribu kutoa solution. Ushauri ili nisikuchoshe sana: 1. You must repent to what you have been doing all long brother. kusudia kwa dhati kufanya hivyo ili ujinasue na hali hiyo ngumu. 2. Fikiria kuwa karibu na Mungu zaidi, omba, funga sali as if your life depends on it.3. Tafuta mke wa kuoa na achana na zinaa ni hatari. In fact nina vitu vingi ningekupa lakini kwa majibu nayoyaoona hapo juu mkijibizana na wachangiaji si vema sana hasa ukichukilia umri wangu naweza kabisa kukuzaa so change please. Wewe waache watu wajimwage tu. Zuri chukua baya achana nalo. Bye for now
Majukumu makubwa ni kutafta mkate wa kila siku pamoja na mahitaji ya kawaida I.e kodi, mavazi etcSasa hivi una majukumu gani
Kweli kabisa kiongoziMkuu hili mimi liliwahi kunitokea miaka michache iliyopita. Tafiti zangu zinaonesha kuwa sababu kubwa inayomfanya mtu atoke kwenye umachachari na kuwa domo zege ni SOCIAL ISSUE. Jichunguze kwa siku unakutana na wadada wangapi na una SOCIALIZE nao kivipi, utagundua zamani vijana tulikuwa active sana ku SOCIALIZE na kuanzisha CONVERSATION mbalimbi na hii ilikuwa inatupa confidence ya kuwakamata. Lakini sasa hivi vijana wengi wanacheka tu wenyewe WhatsApp, FB, Instagram na kwenye social networks nyingine. Hivyo wa kiume wamekuwa domo zege na wa kike wamekuwa wajanja wajanja, wamekaa kimasirahi maana ndio elimu wanayoipata kwenye social networks.
Ndio maana mabinti wengi sana wanajiuza ama direct au indirect sasa hivi. Hivyo zama za kutongozwa na kung'ata kucha zimeisha. Sasa hivi ukitangaza tu dau unapewa papuchi.
Umetisha bro.Nadhani kwa umri ulio nao sasa yafaa zaidi uwe na kazi ya kukupatia kipato cha kutosha maana wanasema pesa ni sabuni ya roho itakupatia full confidence. Pili sina hakika sana, kwenye mada yako hujasema kama unahitaji mchumba ambaye baadaye awe mke.Of which ningekushauri kwa imani yoyote uliyonayo hasa kidini fikiria kupata mke na sio kuchezea ujana. Mada yako yaonesha pia wewe ni mzoefu mkubwa na umezifunua nyingi sana mpaka za mabarmaid so you can imagine how expert you are, je, ushaona zinapishana radha utamu vionjo namna yoyote.? Kisayansi wanasema radha kila mtu anayo; mfano wale wenye kadi za kudumu za CHAPUTA, wazee wakupiga puli wanafika vizuri tu tena kuzidi hata akiwa na wa jinsia tofauti yake. Ninazidi kupata maswali zaidi kwamba yaweza kuwa kipindi kile unachodai ulikuwa so active on those issues ya kwamba umekuwa inflicted with some demons on your head unknowingly and now you are paying the price. I mean, let's be honest here maana umeomba tukushauri japo povu toa tu sindano lazima upewe. Look, I'm just trying to analyse your situation that's why... So, if you dig in you gonna find what am saying. Wewe umetembea na wanawake wa kila aina, umesema mwenyewe hapa. I don't know maybe walikuwa wake za watu, wachumba za watu etc. I'm coming to the point.., kwamba ukifanya hivyo mara nyingi you are most likely to get what you are experiencing right now. Baadhi ya wanawake huwa na matatizo yao makubwa tu. Hapa nazama kiroho kizaidi kwamba baadhi ya wanawake wanaweza kukubalia kufanya hayo uliyoyafanya kwa malengo fulani and now you in trouble because you have been initiated already to the kingdom of darkness (Satanic). Nielewe taratibu hapa ndio najaribu kutoa solution. Ushauri ili nisikuchoshe sana: 1. You must repent to what you have been doing all long brother. kusudia kwa dhati kufanya hivyo ili ujinasue na hali hiyo ngumu. 2. Fikiria kuwa karibu na Mungu zaidi, omba, funga sali as if your life depends on it.3. Tafuta mke wa kuoa na achana na zinaa ni hatari. In fact nina vitu vingi ningekupa lakini kwa majibu nayoyaoona hapo juu mkijibizana na wachangiaji si vema sana hasa ukichukilia umri wangu naweza kabisa kukuzaa so change please. Wewe waache watu wajimwage tu. Zuri chukua baya achana nalo. Bye for now
UNatumianguvu kujibishana na watu....mada yako inaharibika kwa style hiyo......jibu once sio kujibizana na comments...jibu pokea ushauri uwe negative au positive af kuufanyiakazi ni juu yako ila kujibisha aaaaa hainogiMwenye akili mbovu za kusoma na kushindwa kuelewa mada au?
Au mwenye umbo kama lako?
Mwenye nyumba, mke, watoto n.k kama vyako au?
Try to be specific bro.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala hujazeeka mkuu. Hali hiyo inatokana na kuwagonga sana na mwisho wa siku umewakinai baada ya kuona hakuna jipya lililojificha ndani ya chupi zao. Una bahati sana kufikia hali hiyo ukiwa bado kijana mdogo. Mshukuru muumba wako kwa hilo kwani una nafasi ya kutengeneza maisha yako katika umri mdogo.!. Wenzio mpaka leo tunazeeka bado tunafukuzana na wanawake. Na ukumbuke kuwa tunajiingiza kwenye gharama zisizo na maana yoyote.Habari za mda huu wakuu wana MMU natumai mu wazima na mnaendelea vyema kuijenga Tz ya viwanda.