Naona nazeeka nkiwa kijana

Naona nazeeka nkiwa kijana

Tafuta pesa watakuja hutokuwa na haja ya kuwafukuzia
 
Mkuu hili mimi liliwahi kunitokea miaka michache iliyopita. Tafiti zangu zinaonesha kuwa sababu kubwa inayomfanya mtu atoke kwenye umachachari na kuwa domo zege ni SOCIAL ISSUE. Jichunguze kwa siku unakutana na wadada wangapi na una SOCIALIZE nao kivipi, utagundua zamani vijana tulikuwa active sana ku SOCIALIZE na kuanzisha CONVERSATION mbalimbi na hii ilikuwa inatupa confidence ya kuwakamata. Lakini sasa hivi vijana wengi wanacheka tu wenyewe WhatsApp, FB, Instagram na kwenye social networks nyingine. Hivyo wa kiume wamekuwa domo zege na wa kike wamekuwa wajanja wajanja, wamekaa kimasirahi maana ndio elimu wanayoipata kwenye social networks.

Ndio maana mabinti wengi sana wanajiuza ama direct au indirect sasa hivi. Hivyo zama za kutongozwa na kung'ata kucha zimeisha. Sasa hivi ukitangaza tu dau unapewa papuchi.
 
Nadhani kwa umri ulio nao sasa yafaa zaidi uwe na kazi ya kukupatia kipato cha kutosha maana wanasema pesa ni sabuni ya roho itakupatia full confidence. Pili sina hakika sana, kwenye mada yako hujasema kama unahitaji mchumba ambaye baadaye awe mke.Of which ningekushauri kwa imani yoyote uliyonayo hasa kidini fikiria kupata mke na sio kuchezea ujana. Mada yako yaonesha pia wewe ni mzoefu mkubwa na umezifunua nyingi sana mpaka za mabarmaid so you can imagine how expert you are, je, ushaona zinapishana radha utamu vionjo namna yoyote.? Kisayansi wanasema radha kila mtu anayo; mfano wale wenye kadi za kudumu za CHAPUTA, wazee wakupiga puli wanafika vizuri tu tena kuzidi hata akiwa na wa jinsia tofauti yake. Ninazidi kupata maswali zaidi kwamba yaweza kuwa kipindi kile unachodai ulikuwa so active on those issues ya kwamba umekuwa inflicted with some demons on your head unknowingly and now you are paying the price. I mean, let's be honest here maana umeomba tukushauri japo povu toa tu sindano lazima upewe. Look, I'm just trying to analyse your situation that's why... So, if you dig in you gonna find what am saying. Wewe umetembea na wanawake wa kila aina, umesema mwenyewe hapa. I don't know maybe walikuwa wake za watu, wachumba za watu etc. I'm coming to the point.., kwamba ukifanya hivyo mara nyingi you are most likely to get what you are experiencing right now. Baadhi ya wanawake huwa na matatizo yao makubwa tu. Hapa nazama kiroho kizaidi kwamba baadhi ya wanawake wanaweza kukubalia kufanya hayo uliyoyafanya kwa malengo fulani and now you in trouble because you have been initiated already to the kingdom of darkness (Satanic). Nielewe taratibu hapa ndio najaribu kutoa solution. Ushauri ili nisikuchoshe sana: 1. You must repent to what you have been doing all long brother. kusudia kwa dhati kufanya hivyo ili ujinasue na hali hiyo ngumu. 2. Fikiria kuwa karibu na Mungu zaidi, omba, funga sali as if your life depends on it.3. Tafuta mke wa kuoa na achana na zinaa ni hatari. In fact nina vitu vingi ningekupa lakini kwa majibu nayoyaoona hapo juu mkijibizana na wachangiaji si vema sana hasa ukichukilia umri wangu naweza kabisa kukuzaa so change please. Wewe waache watu wajimwage tu. Zuri chukua baya achana nalo. Bye for now
 
Back
Top Bottom