Naona nazeeka nkiwa kijana

Naona nazeeka nkiwa kijana

Mkuu pole sana ila tatizo lako linatokana na 'hofu ya maisha', narudia tena 'hofu ya maisha'

Kivipi 'hofu ya maisha'?

Turudi nyuma kidogo, kipindi ukiwa sekondari O'level na A'level haukua na majukumu binafsi juu ya maisha yako hivyo ulikuwa ume relax hali iliyouwezesha unongo na homon kufanya kazi kwa uharaka.

Haya, ulipofika chuo mwaka wa kwanza na wapili hapa furaha yako kliongezeka juu ya maisha japo stress taratiibu zilianza kujitokeza hasa mwaka wa pili ila bado ulikuwa relaxed hivyo ukawa active. (Hongera!)

Tatizo ni hapa mwaka wa tatu, hapa ubongo wako ulianza kung'amua mambo yajayo bila hata ya wewe binafsi kuhusishwa (complicated kidogo ila utanielewa tu!) hali hii ama ilikuwa ikikutokeausiku ukiwa umelala (si ndoto) au hata kwenye utani na maongezi ya kawaida na marafiki au watu wako wa karibu, hasa yale maongezi uliyokuwa huyatilii maanani.

Basi hali hiyo taratiibu ikaanza kukua hadi kuathiri shuhuli nyingine kwenye mwili wako, hapa ukijichunguza hata ratiba zako za kwenda chooni zilibadilika [emoji3] (huo ndio ukubwa) si umewahi kusikia kuwa mwanaume anaenda haja mara 1 kwa siku?

Haya, yapo mengi mkuu ila kwa ufupi sana ndio haya niliyokueleza (sijui kama umejikumbuka) basi jitahidi kujichunguza utagundua umebadilika mambo mengi sana hata uvaaji, maongezi au hata mtazamo wako juu ya imani unaweza kubadilika na hii itategemea mtazamo wako wa awali ulikuwaje.

Mwisho nikuhakikishie tu ndugu yangu kuwa usiwe na hofu yoyote juu ya hali hiyo, muhimu pambana na maisha ufanikiwe kimaisha yaani uweze kupata mahitaji muhimu ya binadamu kwa pesa yako na bado uweze kutunza akiba ukifanikiwa haya machache utarudi kuwa kama zamani.

NB: usianza kutumia dawa za mmasai sijui za kuvuta mademu na mambo kama hayo, UTAPOTEA!. Kumbuka huu ndio muda wako kupambana kujijenga kimaisha


Sent from my iPhone using JamiiForums
Umenisaidia pia mkuu, ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye Sifa zote za Kuitwa mwanaume ndiyo mimi na ni jasiri kiasi kwamba naweza kukutongoza hata wewe. (wanawake wanakupa shida unajiita Mwanaume?)

Sana tu Baharia [emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Hayo ni Majibu ya kiume kabisa Mzee Baba Mwanaume unatakiwa kujiamini! Agiza Kinywaji chochote nitalipa [emoji1548][emoji1548][emoji1548]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
nyie mnaojisifia uanaume asilimia kubwa ndo huwa machoko behind the curtain!
Mwanaume ukishaanza kuwa na michirizi kwenye mapaja ni lazima uanze kuchukia wanaume wenzako na wewe kinachokuharibu na hiyo michirizi ya mapajani.
 
Mwanaume ukishaanza kuwa na michirizi kwenye mapaja ni lazima uanze kuchukia wanaume wenzako na wewe kinachokuharibu na hiyo michirizi ya mapajani.
usipanic kijana...!!!mwanaume hajisifii,uanaume wake unadhihirika tu,
ukiona mtu anajisifia sanaaaa ujue kuna walakini,ni defensive mechanism...!!!simple tu!
 
usipanic kijana...!!!mwanaume hajisifii,uanaume wake unadhihirika tu,
ukiona mtu anajisifia sanaaaa ujue kuna walakini,ni defensive mechanism...!!!simple tu!
Mbona una wivu sana nikiwa mwanaume unaumia nini?
 
Una uandishi mzuri Sana yaani zinasisimua..eti una quote mpk vifungu uchwara vya sheria... nakushauri muombe MUNGU yeye ndio mwenye hekima yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaaan hili limenitokea jana m mwenyewe nilikuwa machachari sana lakn nashangaa ck hz nmekuwa domo zege wa mwisho...maana jana nilikutana na demu mkali hatare yaan ni kisu ila kila nikitaka kumuongelesha yaan domo zito kinyama yaan mpaka akapotea kwenye upeo wa macho yang...zaman ilikua haipiti ck mbili bila kutongoza lkn asaiv nmekuwa mzembe sana yaan hadi mwezi namaliza cjatongoza.
N.B dem ninae tena ni mkali...ila c unajua mwanaume kutongoza ndo uanaume wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utajisikiaje siku nakuja na mama yako au Baba yako nyumbani kwenu kalewa na nimemtia mimba?
fresh tu kwani ukimtia mimba mama yangu kuna ubaya gani??yeye si mwanamke!kama mama yako asingetiwa mimba enzi zile we shoga usingekuwepo!!
 
Back
Top Bottom