Naona nazeeka nkiwa kijana

Naona nazeeka nkiwa kijana

Habari za mda huu wakuu wana MMU natumai mu wazima na mnaendelea vyema kuijenga Tz ya viwanda.
Tikiwa tunaendelea kufarijiana na msiba wa dada yetu kipenzi J. Magufuli naomba nowape kisa changu, kabla ya yote naomba ku declare interest kuwa mm ni kijana wa kiume mid 20s na stori yangu inatokana na kupungua kwangu kwa uactiveness wa mambo ya mahusiano
Miaka kadhaa ilopita wakati nasoma o level na a level + mwaka wa kwanza chuo nilikua active sana kwenye mitongozo sikuwahi kuchezea fursa hata siku moja, nilikua najikubali sana linapokuja suala la kutongoza hata demu awe mkali kiaje na kama ilivyo ada ya utongozaji sheria namba 17 kifungu cha 3b "kwenye kutongoza kuna kupata na kukosa so never be disappointed ukimkosa demu ni sehem ya mchezo" Mwisho wa kunukuu. Kutokana na hivyo niliwapata wengi na kuwakosa wachache hata kama sina mia mfukoni.
Sanjali na hayo pia nilikua mtaalam wa kubambia niwapo disco na pindi niendapo bar nilijua kuwaopoa wahudumu vizuri tu kwakweli nilikua kijana machachari sana.
Pia katika uvaaji sikua nyuma nilijua kuvaa vizuri japo sikuwahi kuvaa nguo za gharama kubwa kutokana na hali ya uchumi. Hivyo nilijipenda kadri hali ilivyruhusu.
Sasa tatizo langu lilianza nilipoingia mwaka wa tatu chuoni: Nilikua mzito kumsimamisha demu achilia mbali kutongoza hata ikitokea nimekaa na demu ilikua ngumu ku initiate conversation. Nilipojitahidi kumsimamisha demu na kumwongelesha sikufika mbali make nikijibiwa fyongo mara moja naamsha namuacha demu huku nikitukana moyoni. Hali hii imeenda sanjari na kwa mabar maid ambao nao sina tena maujanja ya kuwatokea hta niwe na milioni mfukoni. Hali hii imenifanya niishi miez mingi bila kugegeda japo sina kadi ya chaputa. Mwanzoni sikuona tatizo maana nilidhani sijapata soulmate wangu na mda ukifika ntampata nilienda mbali zaidi kwa kujipa moyo kuwa madem wa chuo wa kazi gani (nahisi hii ilikua defensive mechanism)
Tatizo hili limeendelea mpaka nimegraduate chuo na mda huu nko mtaani ila naona hali ni ile ile. Toka nije kitaa nimekua domo zege wa hatari naogopa kuwatokea madem na nikiwatokea hatufikii muafaka yani ni full frustration.
Mwisho kabisa najua humu kuna wataalam wa saikolojia pamoja na wadau mbalimbali wenye experience na haya mambo, naombeni mnishauri je hii hali imetokana na nini maana mi sielewi na nifanyeje ili kuondokana na hii hali make inanitesa sana naona kama nazeeka bado kjjana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Take your time off relation. Jijenge kwanza. It your mind imechoka sababu huko nyuma constantly ulikuwa unatongoza kila saa.
It time utulie.. alaf kwenye mid 20 ni wkt wa kujijenga zaid na kuwa na mahusiano na demu wa kueleweka. Acha kurukaruka hovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako kidogo kwa mbali linataka kufanana na langu. Mimi kuna kipindi fulani ilikuwa kila mwanamke ninayekutana nae lazima nimtongoze, haijalishi awe na mvuto, au asiwe na mvuto, awe mke wa mtu, au kicheche nilikuwa sijali na nilikuwa sikataliwi ilifikia wakati nikawa na wanawake wengi ila sikuweza hata kufika nao popote.

Tatizo lako linataka kufanana na langu mahali hapa; nimekuwa mzito na domo zege kama wewe tu, ila tofauti kidogo na wewe... Wanawake wanaonisumbua sana ni wale ninaokutana nao macho kwa macho, pua kwa pua... Wananisumbua sana hawa hata nikiwasimamisha kujaribu kuwatega naona kama kuna kitu nimekosa. Nimejichunguza mwenyewe nimegundua bado ninayo madini ya kutosha kwenye huu mdomo wangu, lakini nimekuwa mzito wakati mwingine nafikiri kutokuwa na mlungula wa kutosha ni sababu moja inayonifanya nipunguze ile kasi yangu ya utongozaji.
 
Mkuu pole sana ila tatizo lako linatokana na 'hofu ya maisha', narudia tena 'hofu ya maisha'

Kivipi 'hofu ya maisha'?

Turudi nyuma kidogo, kipindi ukiwa sekondari O'level na A'level haukua na majukumu binafsi juu ya maisha yako hivyo ulikuwa ume relax hali iliyouwezesha unongo na homon kufanya kazi kwa uharaka.

Haya, ulipofika chuo mwaka wa kwanza na wapili hapa furaha yako kliongezeka juu ya maisha japo stress taratiibu zilianza kujitokeza hasa mwaka wa pili ila bado ulikuwa relaxed hivyo ukawa active. (Hongera!)

Tatizo ni hapa mwaka wa tatu, hapa ubongo wako ulianza kung'amua mambo yajayo bila hata ya wewe binafsi kuhusishwa (complicated kidogo ila utanielewa tu!) hali hii ama ilikuwa ikikutokeausiku ukiwa umelala (si ndoto) au hata kwenye utani na maongezi ya kawaida na marafiki au watu wako wa karibu, hasa yale maongezi uliyokuwa huyatilii maanani.

Basi hali hiyo taratiibu ikaanza kukua hadi kuathiri shuhuli nyingine kwenye mwili wako, hapa ukijichunguza hata ratiba zako za kwenda chooni zilibadilika [emoji3] (huo ndio ukubwa) si umewahi kusikia kuwa mwanaume anaenda haja mara 1 kwa siku?

Haya, yapo mengi mkuu ila kwa ufupi sana ndio haya niliyokueleza (sijui kama umejikumbuka) basi jitahidi kujichunguza utagundua umebadilika mambo mengi sana hata uvaaji, maongezi au hata mtazamo wako juu ya imani unaweza kubadilika na hii itategemea mtazamo wako wa awali ulikuwaje.

Mwisho nikuhakikishie tu ndugu yangu kuwa usiwe na hofu yoyote juu ya hali hiyo, muhimu pambana na maisha ufanikiwe kimaisha yaani uweze kupata mahitaji muhimu ya binadamu kwa pesa yako na bado uweze kutunza akiba ukifanikiwa haya machache utarudi kuwa kama zamani.

NB: usianza kutumia dawa za mmasai sijui za kuvuta mademu na mambo kama hayo, UTAPOTEA!. Kumbuka huu ndio muda wako kupambana kujijenga kimaisha

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari za mda huu wakuu wana MMU natumai mu wazima na mnaendelea vyema kuijenga Tz ya viwanda.
Tikiwa tunaendelea kufarijiana na msiba wa dada yetu kipenzi J. Magufuli naomba nowape kisa changu, kabla ya yote naomba ku declare interest kuwa mm ni kijana wa kiume mid 20s na stori yangu inatokana na kupungua kwangu kwa uactiveness wa mambo ya mahusiano
Miaka kadhaa ilopita wakati nasoma o level na a level + mwaka wa kwanza chuo nilikua active sana kwenye mitongozo sikuwahi kuchezea fursa hata siku moja, nilikua najikubali sana linapokuja suala la kutongoza hata demu awe mkali kiaje na kama ilivyo ada ya utongozaji sheria namba 17 kifungu cha 3b "kwenye kutongoza kuna kupata na kukosa so never be disappointed ukimkosa demu ni sehem ya mchezo" Mwisho wa kunukuu. Kutokana na hivyo niliwapata wengi na kuwakosa wachache hata kama sina mia mfukoni.
Sanjali na hayo pia nilikua mtaalam wa kubambia niwapo disco na pindi niendapo bar nilijua kuwaopoa wahudumu vizuri tu kwakweli nilikua kijana machachari sana.
Pia katika uvaaji sikua nyuma nilijua kuvaa vizuri japo sikuwahi kuvaa nguo za gharama kubwa kutokana na hali ya uchumi. Hivyo nilijipenda kadri hali ilivyruhusu.
Sasa tatizo langu lilianza nilipoingia mwaka wa tatu chuoni: Nilikua mzito kumsimamisha demu achilia mbali kutongoza hata ikitokea nimekaa na demu ilikua ngumu ku initiate conversation. Nilipojitahidi kumsimamisha demu na kumwongelesha sikufika mbali make nikijibiwa fyongo mara moja naamsha namuacha demu huku nikitukana moyoni. Hali hii imeenda sanjari na kwa mabar maid ambao nao sina tena maujanja ya kuwatokea hta niwe na milioni mfukoni. Hali hii imenifanya niishi miez mingi bila kugegeda japo sina kadi ya chaputa. Mwanzoni sikuona tatizo maana nilidhani sijapata soulmate wangu na mda ukifika ntampata nilienda mbali zaidi kwa kujipa moyo kuwa madem wa chuo wa kazi gani (nahisi hii ilikua defensive mechanism)
Tatizo hili limeendelea mpaka nimegraduate chuo na mda huu nko mtaani ila naona hali ni ile ile. Toka nije kitaa nimekua domo zege wa hatari naogopa kuwatokea madem na nikiwatokea hatufikii muafaka yani ni full frustration.
Mwisho kabisa najua humu kuna wataalam wa saikolojia pamoja na wadau mbalimbali wenye experience na haya mambo, naombeni mnishauri je hii hali imetokana na nini maana mi sielewi na nifanyeje ili kuondokana na hii hali make inanitesa sana naona kama nazeeka bado kjjana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhan ni ukubwa tu na mabadiliko ya tabia.

So kaka, Embrace the Changes... ni Maisha yamebadilika na there is nothing wrong with it.
 
Tatizo lako kidogo kwa mbali linataka kufanana na langu. Mimi kuna kipindi fulani ilikuwa kila mwanamke ninayekutana nae lazima nimtongoze, haijalishi awe na mvuto, au asiwe na mvuto, awe mke wa mtu, au kicheche nilikuwa sijali na nilikuwa sikataliwi ilifikia wakati nikawa na wanawake wengi ila sikuweza hata kufika nao popote.

Tatizo lako linataka kufanana na langu mahali hapa; nimekuwa mzito na domo zege kama wewe tu, ila tofauti kidogo na wewe... Wanawake wanaonisumbua sana ni wale ninaokutana nao macho kwa macho, pua kwa pua... Wananisumbua sana hawa hata nikiwasimamisha kujaribu kuwatega naona kama kuna kitu nimekosa. Nimejichunguza mwenyewe nimegundua bado ninayo madini ya kutosha kwenye huu mdomo wangu, lakini nimekuwa mzito wakati mwingine nafikiri kutokuwa na mlungula wa kutosha ni sababu moja inayonifanya nipunguze ile kasi yangu ya utongozaji.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu ama kweli umenipa faraja mie pia madini ninayo tena murua kiasi kwamba nikiwa nataniana na madem flani tunaoheshimiana wanasemaga nna mbinu za kifataki ila tatizo huja pale nnapotaka kumsimamisha binti kwa lengo la kumtongoza yani nakua mzito sana .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pole sana ila tatizo lako linatokana na 'hofu ya maisha', narudia tena 'hofu ya maisha'

Kivipi 'hofu ya maisha'?

Turudi nyuma kidogo, kipindi ukiwa sekondari O'level na A'level haukua na majukumu binafsi juu ya maisha yako hivyo ulikuwa ume relax hali iliyouwezesha unongo na homon kufanya kazi kwa uharaka.

Haya, ulipofika chuo mwaka wa kwanza na wapili hapa furaha yako kliongezeka juu ya maisha japo stress taratiibu zilianza kujitokeza hasa mwaka wa pili ila bado ulikuwa relaxed hivyo ukawa active. (Hongera!)

Tatizo ni hapa mwaka wa tatu, hapa ubongo wako ulianza kung'amua mambo yajayo bila hata ya wewe binafsi kuhusishwa (complicated kidogo ila utanielewa tu!) hali hii ama ilikuwa ikikutokeausiku ukiwa umelala (si ndoto) au hata kwenye utani na maongezi ya kawaida na marafiki au watu wako wa karibu, hasa yale maongezi uliyokuwa huyatilii maanani.

Basi hali hiyo taratiibu ikaanza kukua hadi kuathiri shuhuli nyingine kwenye mwili wako, hapa ukijichunguza hata ratiba zako za kwenda chooni zilibadilika [emoji3] (huo ndio ukubwa) si umewahi kusikia kuwa mwanaume anaenda haja mara 1 kwa siku?

Haya, yapo mengi mkuu ila kwa ufupi sana ndio haya niliyokueleza (sijui kama umejikumbuka) basi jitahidi kujichunguza utagundua umebadilika mambo mengi sana hata uvaaji, maongezi au hata mtazamo wako juu ya imani unaweza kubadilika na hii itategemea mtazamo wako wa awali ulikuwaje.

Mwisho nikuhakikishie tu ndugu yangu kuwa usiwe na hofu yoyote juu ya hali hiyo, muhimu pambana na maisha ufanikiwe kimaisha yaani uweze kupata mahitaji muhimu ya binadamu kwa pesa yako na bado uweze kutunza akiba ukifanikiwa haya machache utarudi kuwa kama zamani.

NB: usianza kutumia dawa za mmasai sijui za kuvuta mademu na mambo kama hayo, UTAPOTEA!. Kumbuka huu ndio muda wako kupambana kujijenga kimaisha

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mungu akubariki sana mkuu umenena kweli tupu na nashukuru kwa mchango wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtoa mada lzm amepanuliwa marinda, mwanaume utachokaje papuchu ?
 
hata m nimekuelewa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom