flagship
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,641
- 1,189
Moto wa pumba huwa hautabiriki kwa kuwa unaweza kutia miguu kwa kudhani umezimika kumbe unawakia chini.Hali hii ndio ninayoiona katika siasa za nchi zinazoendelea za kufungana midomo kwa nguvu ya dola.Je ni yupi bora kati ya adui anayefanya mikakati ya wazi au anayefanya kimyakimya?Wakati mgumu huwa ni fursa kwa mwenye akili kubwa,so kunyimwa Uhuru na haki huwa ni fursa pia.