Naona Jaji Kaijage hamjui mwenyekiti...

Chonde chonde jaji nenda kwa mkuu wako kachukue manual itakusaidia kufanya kazi na utadumu kwenye hicho cheo bt katiba waachie upinzani ....hyo ukiifuata itakutoa nduki
 
Ingelikuwa nafasi yake hiyo inasimamiwa na Commonwealth (kama ilivyo nafasi ya Ujaji, , ningelisema kauli yake ni thabiti. Haya anayoamua kutengua saa tano usiku na saa tatu asubuhi anateuliwa mwingine, hawezi kufanya lolote katu.
 
Ngoja kwanza aingie kikao chake cha kwanza cha kamati kuu ya CCM!
 
Mbona chini ya hayo maandishi Kuna maneno yanaeleza hizo kamati kipindi cha kampeni
 
Hivi hiyo number kwenye screen shot,ndo ya mleta mada?,

au ndo kawaida ukiscreenshot inatoka na nambaa?
 
Huyo jaji anadhani anaongea na watoto kwamna akipiga hiyo mikwara mbuzi ndio tutamuani kwamba sio parcel ya ccm. Huyo ni shati tu atakuwa anafanya yale yanayotakiwa na ccm. Yeye asuburi ale mshahara wake unaotokana na kodi zetu kisha atekeleze matakwa ya ccm.
 
Back
Top Bottom