Naona huruma kumpiga chini, nifanyeje?

Naona huruma kumpiga chini, nifanyeje?

ndandawamalenja

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
548
Reaction score
658
Hapo kati mamsapu aliniletea sana za kuleta na siku moja akanitamkia wazi kuwa amechoka kuishi na mimi (baadae aliomba msamaha akasema alipandwa na hasira). Kipindi tulichochuniana nikakutana na kadem fulani na nikawa nimeamua mamsap akisepa tu, navuta jumla hako kadada.(ni kadada kwa sababu kiumri nakazidi sana halafu ni kipotabo). Sasa wife hakusepa wala nini na mimi nikawa nimekolea nje mpaka nimepangishia chumba na gheto nimelikamilisha. Wife alikuja futa kauli zake za kuondoka hazingui tena na kawa mpole na mwenye heshima mpaka naona aibu kuendelea na nyumba ndogo. Wife Sitaki kumwacha na nyumba ndogo naona huruma kummwaga kwa sababu yaani kakolea kishenzi. Sidhani kama atamwamini mwanaume mwingine Mimi nikimtosa. Naogopa kumwambia wife nataka oa mke wa pili kwa sababu atasepa, japo ningewamudu na napenda wake wawili. Kitu kingine mamsap hapendi kujishughulisha na utafutaji hela wakati hii nyumba ndogo inajituma kwenye utafutaji kishenzi (mchaga), mara kadhaa ashanikwamua kwenye vishida vya lakilaki hizi. Sasa nipo kwenye dilemma!!!
 
Kama imani yako inaruhusu kuoa mke wa pili basi oa ili iwe halali
 
Wewe mwambie mamsapu laivu kwamba alipoleta longolongo wewe uliamua kujipanga upya na sasa unamuomba asepe zake uendelee na mipangilio. Utaona mwenyewe atakavyozidisha upole na wala hataongelea kidemu chako kwa woga wa kukumbushiwa msafara
 
we vp..endelea kula vitu mpaka cku utayofumaniwa..kwan ushajaribu kuwekeza kwa mkeo?
 
mmmh ndugu mkeo mnawatt kama mnao mpebiashara sahau nyumba ndg hizo huduma unapata saaana sababu anajua unanyumba kubwa ila akiwa yeye utalia,kiiman kumuacha mwanamke ni ikiwa tu umethibitisha ametoa unyumba nnje so think twice na muwezeshe mkeo mm wachaga cwaamn kabisa wakitaka yao wanapilika haswaa wakishafanikisha yao duh!
 
Paloma mie mzima.. Kashindwa kumpiga chini, ajaribu kumpiga juu asipo fanikiwa inabidi aendelee nae itakua Mungu ndio ame mchagulia aache tamaa za kibinadamu za kujichagulia hovyo hovyo pasipo .........

Jamani manoah ndo nini hiki hahahahahaaaa
 
Last edited by a moderator:
we vp..endelea kula vitu mpaka cku utayofumaniwa..kwan ushajaribu kuwekeza kwa mkeo?

Nishajaribu sana. Nishampeleka shule ya hotel management alipomalza akasema hataki kazi za hotelini. Akataka fungua tailoring mart tukanunua vifaa vyote vya lazima mpaka leo vipo ndani, baadhi aligawa. Akasema anataka biashara za mikoani nikampa mtaji akaenda trip mbili tu akaacha, akasema anataka biashara ya duka nikampa mtaji, fremu nikamlipia duka lina bidhaa za kutosha anafungua akijisikia, say once a week or in two weeks. Nikiwa mkali anasema namnyanyasa! Mwe!!!!
 
Mi nafikiri kama mambo yamekaa sawa na mama, basi aweke mkakati wa either kumuacha smalhaus au kumuoa kadiri ya uchaguzi wake. Vyote ni process, hivyo vyahitaji kufanywa kwa umakini na utulivu! Umenisoma ndandawamaleja
Paloma mie mzima.. Kashindwa kumpiga chini, ajaribu kumpiga juu asipo fanikiwa inabidi aendelee nae itakua Mungu ndio ame mchagulia aache tamaa za kibinadamu za kujichagulia hovyo hovyo pasipo .........
 
Last edited by a moderator:
Wewe mwambie mamsapu laivu kwamba alipoleta longolongo wewe uliamua kujipanga upya na sasa unamuomba asepe zake uendelee na mipangilio. Utaona mwenyewe atakavyozidisha upole na wala hataongelea kidemu chako kwa woga wa kukumbushiwa msafara

We ni nouma!
 
Mi nafikiri kama mambo yamekaa sawa na mama, basi aweke mkakati wa either kumuacha smalhaus au kumuoa kadiri ya uchaguzi wake. Vyote ni process, hivyo vyahitaji kufanywa kwa umakini na utulivu! Umenisoma ndandawamaleja

Nimekusoma mkuu!
 
Last edited by a moderator:
ndandawamalenja umefanya dhambi kupiga nje ya ndoa, nenda katubu dhambi zako, na umrudie Mungu wako na umuombe pia mkeo msamaha kwa ulivyo fanya, na usirudie tena haya makitu.. mnapo gombana haimaanishi ukaanze kufanya uzinzi kama ....... samahani lakini. Paloma umekua mswahili?

Mi nafikiri kama mambo yamekaa sawa na mama, basi aweke mkakati wa either kumuacha smalhaus au kumuoa kadiri ya uchaguzi wake. Vyote ni process, hivyo vyahitaji kufanywa kwa umakini na utulivu! Umenisoma ndandawamaleja
 
Wewe mwambie mamsapu laivu kwamba alipoleta longolongo wewe uliamua kujipanga upya na sasa unamuomba asepe zake uendelee na mipangilio. Utaona mwenyewe atakavyozidisha upole na wala hataongelea kidemu chako kwa woga wa kukumbushiwa msafara

Haniwekei sumu mzee? Kuna kipindi ashanitishia nikaacha kula home kama mwezi hivi.
 
ndandawamalenja umefanya dhambi kupiga nje ya ndoa, nenda katubu dhambi zako, na umrudie Mungu wako na umuombe pia mkeo msamaha kwa ulivyo fanya, na usirudie tena haya makitu.. mnapo gombana haimaanishi ukaanze kufanya uzinzi kama mb.waaa samahani lakini. Paloma umekua mswahili?

Now u er talking, ile ya kumpiga juu sikuielewa kabsaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Hapo kati mamsapu aliniletea sana za kuleta na siku moja akanitamkia wazi kuwa amechoka kuishi na mimi (baadae aliomba msamaha akasema alipandwa na hasira). Kipindi tulichochuniana nikakutana na kadem fulani na nikawa nimeamua mamsap akisepa tu, navuta jumla hako kadada.(ni kadada kwa sababu kiumri nakazidi sana halafu ni kipotabo). Sasa wife hakusepa wala nini na mimi nikawa nimekolea nje mpaka nimepangishia chumba na gheto nimelikamilisha. Wife alikuja futa kauli zake za kuondoka hazingui tena na kawa mpole na mwenye heshima mpaka naona aibu kuendelea na nyumba ndogo. Wife Sitaki kumwacha na nyumba ndogo naona huruma kummwaga kwa sababu yaani kakolea kishenzi. Sidhani kama atamwamini mwanaume mwingine Mimi nikimtosa. Naogopa kumwambia wife nataka oa mke wa pili kwa sababu atasepa, japo ningewamudu na napenda wake wawili. Kitu kingine mamsap hapendi kujishughulisha na utafutaji hela wakati hii nyumba ndogo inajituma kwenye utafutaji kishenzi (mchaga), mara kadhaa ashanikwamua kwenye vishida vya lakilaki hizi. Sasa nipo kwenye dilemma!!!

Hii nayo inaweza kuwa mbinu ya kuzidi kukuweka karibu wakati wewe unaona anakukwamua, anyway FOLLOW YOUR HEART
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom