Naona Bunge linapiga chafya

Kwa mazingira kama hayo Kuna haja ya umuhimu wa Katiba Mpya ili kuwe na uhuru wa mihimili.

Kinacholeta shida Wanalalamika hapa ni Kwa kuwa hawana meno ya kutosha wako kwenye kwapa la Serikali na chama.

Huyu Jamaa anachoongea hapa kamba next Bunge kama hakuna Hatua zilizochukuliwa Kwa mujibu wa Azimio la Bunge kusiwe na haja ya kuendelea na Bunge,Wabunge wakubali hii hoja itasaidia.

View: https://youtu.be/Twiel5kRh6s?si=YIORk8JgaPGIsVgE

Unajua tuwahi sana kupata uhuru, na nyerere ndio chanzo cha matatizo yote katika hii nchii
 
Kwa kweli pasipo kupoteza muda, ninayo furaha ya dhati toka moyoni kwa hiki ambacho nimekiona kwa bunge la leo!

Yaani ni kama mgonjwa mahututi ambaye ghafla ameanza kupiga chafya!

Chafya ni dalili ya uhai.

Hongereni sana wabunge wote mliohusika kukemea vibaka walioko kwenye wizara mbalimbali ambao kazi yao ni kuiba na kuiba na kuiba tena!

Mh. Rais Samia Suluhu Hassan aliwaambia wajitathmini, lakini hadi sasa hatujaona mtendaji yeyote serikalini akijihudhuru au hata kuomba radhi tu kwa kile kilichotokea!

Wabunge naomba msiishie tu kutufurahisha wananchi wenu kwa maneno mazito mazito mnayoyasema huko, bali hakikisheni wahalifu wote wanachukuliwa hatua ili kuinusuru nchi yetu na hawa mchwa wanaokula kila kitu hadi vyuma wao wanakula tu!
Maigizo ya mchongo kabla hawajamtosa wanaemtaka na kujivua gamba kiaina!!

Sinema hilo halafu mama atachukua hatua halafu Kuna poa Tena business as usual!
 
Rais Samia Suluhu Hassan aliwaambia wajitathmini, lakini hadi sasa hatujaona mtendaji yeyote serikalini akijihudhuru au hata kuomba radhi tu kwa kile kilichotokea!
Hii mada yako itatambaa kwa magoti badala ya kutembea kwa miguu kama unaweza kuweka mstari kama huo kuijengea hoja!
Pole sana.
 
Mimi binafsi hao wabunge hawajanifurahisha Kwa sababu Wanalalamika badala ya kuchukua hatua na namna ya kuchukua hatua ni kuja na maazimia makali na wamueleze Waziri Mkuu kwamba kama Serikali haitatekeleza maazimio wasipitishe Bajeti ijayo Kwa sababu huu ni ujinga.

Angalia hapo Tabasamu anasema taarifa 3 za CAG hakuna walichofanya.

Ndio maana Kuna haja ya Wapinzani mana awangesha table Azimio la Kuta target wahusika kabisa ila Hawa wanapiga makelele yasiyo na msingi.

Mbaya zaidi mda wa kujadili hiyo taarifa ni mdogo na umewekwa mwezi wa 11 makusudi Ili Serikali ikatafute majibu ya kufunika Kombe ikiwemo kuhonga Baadhi ya Wabunge.

Mwisho mnufaika mkubwa wa wizi ni ccm na hivyo sitarajii chochote Cha maana sana sana wataitana kwenye Kamatia za Vyama vyao huko.

Kweli kabisa mkuu.
 
Bunge kupiga chafya inaleta ishara gani?

Isiwe ni kaole maana nasikia kama vitu vinahusu kuharibu taswira ya chama uwa wanajifungia wao kama wao.
 
Kwa mazingira kama hayo Kuna haja ya umuhimu wa Katiba Mpya ili kuwe na uhuru wa mihimili.

Kinacholeta shida Wanalalamika hapa ni Kwa kuwa hawana meno ya kutosha wako kwenye kwapa la Serikali na chama.

Huyu Jamaa anachoongea hapa kamba next Bunge kama hakuna Hatua zilizochukuliwa Kwa mujibu wa Azimio la Bunge kusiwe na haja ya kuendelea na Bunge,Wabunge wakubali hii hoja itasaidia.

View: https://youtu.be/Twiel5kRh6s?si=YIORk8JgaPGIsVgE

Hawa jamaa walikuwa wamejificha wapi?
Tunahitaji wabunge wazalendo, siyo waimba pambio tu ya kuisifu serikali!
 
Maigizo ya mchongo kabla hawajamtosa wanaemtaka na kujivua gamba kiaina!!

Sinema hilo halafu mama atachukua hatua halafu Kuna poa Tena business as usual!
Kwa hiyo wamekubaliana ili kumtoa kafara mtu fulani wapate uhalali wa kumweka mtu wao wanayemtaka?! Anyway, kwa ile report ya CAG, hakuna namna serikali nzima ilipaswa kujiudhuru ila kwa sababu tuko kwenye shithole countries, business will be as usual!
 
Hawa jamaa walikuwa wamejificha wapi?
Tunahitaji wabunge wazalendo, siyo waimba pambio tu ya kuisifu serikali!
Kila Mjadala wa CAG Huwa wanaongea hivi hivi ila Serikali Huwa haichukulii Kwa usito Kwa sababu hakuna wizi Mpya ni Yale Yale miaka na miaka.

Bahati mbaya sana awamu ya 5 walizimwa tofauti na awamu hii mama alisema waongee,CAG afichue na akawaonbezea Bajeti na Ajira za kutosha ofisi ya CAG.

Unachoona hapo ni 30% tuu ya Sampling ya CAG na Kamati SAS imagine ingekuwa ni mradi Kwa mradi.

Mwendazake mathalani alihamishia Baadhi ya taasisi na miradi ofisi ya Rais huko CAG hakagui mfano ni bwawa la Nyerere,Sgr yenyewe wameanza kukagua baada ya Samia kuingia.

Mwisho hakuna siku ccm watatunga sheria Kali Kwa sababu wanafahamu mnufaika wa kwanza ni ccm maana ingekuwa ni Watumishi wa Umma tuu fasta wangeleta hiyo sheria.

Nani mwenye Utajiri Nchi hii kuanzia mtumishi Hadi mwanasiasa atakwambia alipata Kwa jasho lake? Kama hakuiba Serikalini alokwepa Kodi.
 
Ha ha ha serikali inalaumiwa, inasemwaaaa halafu Namba moja wanamkwepa. Sasa sijui Boss wa serikali ni nani.

Au anasakwa PM?
Huyo PM si ndo Bosi wa shughuli za serikali bungeni na mtendaji Mkuu wa serikali pia?
Anyway, hana sehemu ya kuepuka lawama kwa haya yote yanayoendelea
 
Kila Mjadala wa CAG Huwa wanaongea hivi hivi ila Serikali Huwa haichukulii Kwa usito Kwa sababu hakuna wizi Mpya ni Yale Yale miaka na miaka.

Bahati mbaya sana awamu ya 5 walizimwa tofauti na awamu hii mama alisema waongee,CAG afichue na akawaonbezea Bajeti na Ajira za kutosha ofisi ya CAG.

Unachoona hapo ni 30% tuu ya Sampling ya CAG na Kamati SAS imagine ingekuwa ni mradi Kwa mradi.

Mwendazake mathalani alihamishia Baadhi ya taasisi na miradi ofisi ya Rais huko CAG hakagui mfano ni bwawa la Nyerere,Sgr yenyewe wameanza kukagua baada ya Samia kuingia.

Mwisho hakuna siku ccm watatunga sheria Kali Kwa sababu wanafahamu mnufaika wa kwanza ni ccm maana ingekuwa ni Watumishi wa Umma tuu fasta wangeleta hiyo sheria.

Nani mwenye Utajiri Nchi hii kuanzia mtumishi Hadi mwanasiasa atakwambia alipata Kwa jasho lake? Kama hakuiba Serikalini alokwepa Kodi.
iko siku yote hayo yatafanyiwa kazi na familia zote zilizopata ukwasi kwa kuiba, zitaonja joto la jiwe!

Kikubwa tuombe Mungu atuletee viongozi wazalendo na wanaoipenda nchi yao kwa dhati.
 
Wanafiki walio kubuhu hao

Achaneni nao
Juzi wamejiongezea mihela kimya kimya

Mengi yameingia kiwizi Bungeni hayo!!!¡!
 
Wanafiki walio kubuhu hao

Achaneni nao
Juzi wamejiongezea mihela kimya kimya

Mengi yameingia kiwizi Bungeni hayo!!!¡!
Nilishawahi kutabiri hapa kwamba asilimia zaidi ya 50 ya wabunge, hawatarudi bungeni 2025!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom