Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,304
- 29,835
- Thread starter
- #21
Nimeamua kuwa mkweli na muwazi Kosa langu liko wpTatizo si hiyo kazi tatizo ni jinsi ulivyowasilisha changamoto yako badala ya kupata ushauri utapata kejeri
Nimeamua kuwa mkweli na muwazi Kosa langu liko wpTatizo si hiyo kazi tatizo ni jinsi ulivyowasilisha changamoto yako badala ya kupata ushauri utapata kejeri
Kashanunua maji tatizoFanya kitu unacho kipenda kijana... Hutaona aibu.. kwambie bro kitu unachataka kufanya
SamahaniNiko serious usilete utani
Ndio ee mademu sunajua barabarani wakiwa kwenye daladala wanakuona kwenye madirishaUzoefu utaupata hapo hapo au unaona aibu madem mliosoma nao wakikuona watakucheka au?
Pikieni ugaliKashanunua maji tatizo
Ndio ya political science and public administrationWewe una degree UDSM? wewe huyo?
Ama kweli
Acha ujinga ww mie nimeuza nyama za kuku miwa mafuta ya taaa Tena bila kupewa mtaji huyo Kaka yako ana huruma Sana. Ningekua mimi ningekulipia na chumba miezi mitatu nakuwekea na godoro hapo tumemaliza.Habari zenu jamani mimi ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 26 nimemaliza chuo cha Dar es salaam mwaka jana. See saizi nipo apa Dar es salaam Tandika nakaa na kaka angu ndoananipiga jeki nakaa kwake akienda kazini na mke wake wananiachia buku tu la msosi usiku wakirudi shemeji anapika msosi tunaufinya.
Changamoto ilianza majuzi huyu shemeji Ana roho mbaya kweli kumbe kipindi chote kaka angu huwa anampa 2000 ili anipe pesa ya msosi afu yeye anakata ananipa buku, nilikuja kugundua juzi broo aliposema kwa sauti nanukuu.,(hiyo buku mbili utampa dogo ya msosi) nikasema afadhari nitanunua namm Leo chips na Pepsi nijimwayemwaye, Sasa chaajabu shemeji akaja kunipa buku tu hapo tukaanza kugombana sasa akaanza kunifyezuri na kunifedheshesha mbele ya majirani wa kizaramo wavaa vijora, akisema tena kwa sauti ati amenichoka najaza kitambi tu kazi Sina nabweteka Kati pesa nizakaka angu.
Jana ilibidi yote nimwambie broo huku nikiwa na hasira sana kuliko mwanaume aliyemfumania mkewe . Broo akaniambia yote yaishe atanipa mtaji wa kazi.
SASA chaajabu Leo asubuhi naona ameniletea maji ya uhai kama Dazani tano hivi na MO energy kama dazani saba eti anasema nisimame kwenye mataa ya Sudani Temeke nianze kuuza huku nimebeba mimaji kichwani amesahau kuwa mimi nina degee kutoka UDSM chaajabu hajaniachia hata sent mpaka mdaa huu sielewi nakula nini wenyewe wameenda kazini, naombeni ushauri nifanyeje.
Degree ya Nini kwanza uliyo nayo tuanzie hapoHabari zenu jamani mimi ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 26 nimemaliza chuo cha Dar es salaam mwaka jana. See saizi nipo apa Dar es salaam Tandika nakaa na kaka angu ndoananipiga jeki nakaa kwake akienda kazini na mke wake wananiachia buku tu la msosi usiku wakirudi shemeji anapika msosi tunaufinya.
Changamoto ilianza majuzi huyu shemeji Ana roho mbaya kweli kumbe kipindi chote kaka angu huwa anampa 2000 ili anipe pesa ya msosi afu yeye anakata ananipa buku, nilikuja kugundua juzi broo aliposema kwa sauti nanukuu.,(hiyo buku mbili utampa dogo ya msosi) nikasema afadhari nitanunua namm Leo chips na Pepsi nijimwayemwaye, Sasa chaajabu shemeji akaja kunipa buku tu hapo tukaanza kugombana sasa akaanza kunifyezuri na kunifedheshesha mbele ya majirani wa kizaramo wavaa vijora, akisema tena kwa sauti ati amenichoka najaza kitambi tu kazi Sina nabweteka Kati pesa nizakaka angu.
Jana ilibidi yote nimwambie broo huku nikiwa na hasira sana kuliko mwanaume aliyemfumania mkewe . Broo akaniambia yote yaishe atanipa mtaji wa kazi.
SASA chaajabu Leo asubuhi naona ameniletea maji ya uhai kama Dazani tano hivi na MO energy kama dazani saba eti anasema nisimame kwenye mataa ya Sudani Temeke nianze kuuza huku nimebeba mimaji kichwani amesahau kuwa mimi nina degee kutoka UDSM chaajabu hajaniachia hata sent mpaka mdaa huu sielewi nakula nini wenyewe wameenda kazini, naombeni ushauri nifanyeje.
Political science and public administrationDegree ya Nini kwanza uliyo nayo tuanzie hapo
Bado hijabondwa bondwa na life.Ushauri tafadhari
Sasa si unavaa mabarakoaNdio ee mademu sunajua barabarani wakiwa kwenye daladala wanakuona kwenye madirisha
Huyo hana elimu ndio maana anakuwa kuliView attachment 1970934
Usifanye biashara hiyo una jichoresha mkuu njoo huku tubebe zege
Joto kali tena namibalakoasasa si unavaa mabarakoa