Naombeni wasifu wa January Makamba

Naombeni wasifu wa January Makamba

Game Theory upo?
Mkuu nadhani game theory yeye ndiye! Habari alizozitoa juu ya January ni za kweli ila kasahau/kajisahaulisha kazi yake nyingine moja tu.
Ila pia tuache unyanyapaa, January yupo vyema upstairs kulinganisha na vijana wengi wa umri wake. Mimi huwa namuona John Mnyika ndiye anayekaribiana na January. Hata kama anataka attention ya media kwa ajili ya political ambitions zake lakini yuko vyema.
 
anayemlinganisha january na mnyika ana tahaira ya akili,makamba haingii hata robo ya uwezo wa john,au kwa vile makamba anamix kiswahili na english?
 
Hisani Ya Mange Kimambi! : January yuko juu kama hii nyumba yao

Darasa+2.jpg



MWAM'S HOUSE WARMING DUA (KISOMO)....siku ya uzinduzi wa mjengo wa binti Makamba...! picha na maandishi by Mange Kimambi!

[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]



Not rented....(bought)...yes, if we dream hard enough, we can live out

our dreams...



the door way...

This is when wivu wa maendeleo unahusika kabisaaaa.....

IM INSPIRED MEEEEINNN.....





mange








Mwam,Sophie,Jaki and Adeline...



Wanaume wakisali kabla ya kuanza dua...


Mwam,Noela and Bimdo...



Dua ikiendelea kusomwa kubariki nyumba na mwenye nyumba....



Chaya,bimdo, etc...



Girls..



kwa kweli hiki kisomo kilihusika mnoo kushinda hata party....



Kiki and Mwam...



Mange,Kiki and Mwam...



Kiki and i...



Tulikulajeeee sasa.......



Mzee Makamba akicheza na mjukuu wake, mtoto wa January...



The girls wakiwa wanamsikiliza Aunty Sadaka....



Girl chatting...was really fun.....



aaawwww, Mwam's abaya is really nice...



Mama Claus.....hizi nguo anauza kama unataka mzukie...



Mr. & Mrs Makamba wakiwa na binti yao Mwamvita.. They must be really proud of

their daughter...



Kiki and Jameel....



Designed by Kiki...I WANT,I WANT...



TV ROOM.....(UP STAIRS)...



Master bedroom...Damn Damn....uwiiiii....


sina cha kusema kwa kweli...5 star hotel right here....

in the past 3 days nimejikuta naondoka humu kwa kuvutwa...hahahahaha....



Bathroom....



shower...



Huge Balcony in the master bedroom...



Malaika in her bedroom....



Stairway...





Duh...



The living room (downstairs)....



Living room....





Kitchen....


nafwaaaaaa........



Doorway....



IT’S ALL IN THE DETAILS…..





























[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


 
January is plagued by the fact that he entered the parliament in an unconstitutional way. To us constitutional puritans, he is not a legitimate Member of the Tanzanian Parliament.

Having said that, despite his many personal flaws, January at the very least has the flair of engaging in a spirited and informed analysis of the issues as an exposed person, unlike many of our MPs, including the supposed new learned blood. I watched his evolution since at least the days of Youngafrican.com and offline, so I should know the basic things.

His stint at Ikulu was underwhelming, and this must have contributed to his departure. He has an ego half the size of Mount Meru and tends to drink like a future Mkapa. He fancies himself a writer, reads quite a bit, and would not shy away from calling you an elitist if it serves his argument -imagine that-. His reality is stuck with punctuations of a supposed life of hardship that he endured in the past so one can argue he may have a point in disassociating himself from elitism.

His recent move to tie development projects in his constituency directly to the gyrations of world financial markets is bound to backfire and burn his wings as he is flying too high too soon.

He seems to have a good grip on public opinion and express it as his own - sometimes admirably and articulately- on a number of issues, the energy crisis for one, MPs compensation being another.

The most concerning thing about January is his arrogance. Arrogance plus power is deadly. And I am afraid to think what will happen if he is given real power.
 
Simfahamu January Makamba zaidi ya kumsoma hapa na pale. Anaonekana kijana mzuri sana lakini kama alivyosema Kiranga inaonyesha haelewi alichokikanyaga na anakwenda wapi zaidi ya wishful thinking kwamba anaweza kuibadilisha CCM.. Tatizo langu kubwa sana na vijana wanasiasa ni hilo tu, kwamba wanafikiria wanaweza kuibadilisha Tanzania kwa kupitia CCM hali mfumo mzima ndani ya CCM ni kulindana.

Hata hili swala na nyumba, ni hoja nzito sana lakini sidhani kama inaweza kupatiwa ufumbuzi ikiwa serikali yenyewe imeshindwa kuchukua maamuzi magumu. Kodi za nyumba Dar es -Salaam zinapanda sii kwa sababu watu wanajiamlia tu. Penye Uhaba wa kitu hutokea Rushwa au kwa kiswahili safi niseme MAGENDO. Na huwezi kupitisha mikakati ya kupambana na MAGENDO kwa kuweka sheria hata kidogo. Tumeona wakati wa Nyerere akipambana na biashara za dollar ili kuhakikisha bei yetu inabakia Tsh17 kwa dollar lakini badala ya sheria hiyo kuleta mtunda tuliona mfumko wa bei ya Dollar hadi ukafikia Tsh 175 kwa doillar mwaka 1984. Tuliona soezi la Sokoine na Wahujumu Ucxhumi wakikamatwa walanguzi na wafanyabiasha bila kujua kwamba Uhaba (Scarcity) ndio ulozaa magendo na mfumko wa bei..

Hivyo hakuna jinsi ya kupunguza ama kudhibiti bei ya pango ingawa kusema kweli wananchi wa hali ya chini wanaumia sana na yote haya yametokana na Uhaba ambao umezaa magendo ndani ya biashara hii.. Sina haja ya kuelezea machafu yanayofanyika ktk nyumba za NHC na msajili kwani sababu naijua kuwa ni magendo yalotokana na Uhaba wa nyumba za kuishi Dar

Hatua TATU muhimu zifanyike.

1. Kusisitiza ujenzi wa nyumba zenye ghorofa nyingi kama makazi ya watu mjin. NHC na Msajili wawekeze zaidi ktk ujenzi wa nyumba za kuishi (highrise Building) maana ndio wenye viwanja na nyumba karibu asilimia 50 ya nyumba na wapangishe kwa bebi nafuu.

2. Makao makuu yahamie Dodoma, hili watalikataa wee lakini Dar haiwezi kupata unafuu wowote ikiwa mji wenyewe ni mdogo sana kuwa na watu zaidi ya millioni 5 na hauwezi kupanuka zaidi. Tukiondoa makao makuu Dar mji utapata kupumua na kuwa mji wa biashara hivyo kuondokana na msongomano mkubwa wa watumishi wa serikali, mashirika ya Umma, Balozi na NGO ambazo zinawahusiano ya mara kwa mara na vitengo vya serikali.. Leo tunafikiria kujenga mji mpya Kigamboni wakati tulishindwa kuhamia Dodoma na fedha za walipa kodi kibao zimepotea hivi hivi tu kwa ******.

3. Bandari ya Dar ifungwe kupokea mizigo badala yake iwe Tanga na Mtwara, kisha bandari hiyo itumike kwa Meli za usafiri, cruseship, Yatch na kadhalika. Maeneo ya dock na drydock zijengwe nyumba zaidi, bustani na viwanja vya michezo. Kufikia hapo wakazi wa Dar wataweza kuona bei halisi ya soko la pango na kuiwezesha Dar yenyewe ku coop na ongezeko la watu lakini sidhani kama kupitia bungeni itasaidia zaidi ya kuongeza magendo..
 
Back
Top Bottom