NAOMBENI WANA JF MNISAIDIE

Frankdaniel711

JF-Expert Member
Oct 8, 2018
366
140
Wana jf Nina tazizo naomba mnisaidie; Mimi natumia Facebook bila tatizo lolote lakin tangu ni weke mfumo wa security ili kutumiwa code nikitaka Ku login imekuwa tatizo kwangu, kipindi cha mwanzo nilikuwa naandika namba/email kisha naweka paswed yangu alafu Facebook wananitumia code ili ni login lakin kwa sasa hawatumi code nimesha toa taarifa Facebook kupitia account ya rafiki yangu lakin kimy Nina miezi ZAID ya mitatu sasa nimesha kata tamaa kuipata account yangu NAOMBENI MNISAIDIE WANA JF
 
We jamaa bwana, unalilia akaunti ya facebook?
Kwani kufungua akaunti nyingine inachukua dola ngapi?
Nilivyoisoma heading ya uzi wako nikadhani labda kuna tatizo kubwa linakuandama, nimefungua nakuta mtu analilia akaunti ya facebook, tena ni MWANAUME, kweli?
Acha umama mkuu, fungua nyingine, add marafiki wote uliokuwa unaona ni muhimu.
 
Tuma detail zako tuifungue account yako

Username
Email na password yake
Phone number
Recently used password
 
Nitakutukana wewe jamaa account yangu una juwa ina umuhimu gani au una taka watu wakuone umeongea point
We jamaa bwana, unalilia akaunti ya facebook?
Kwani kufungua akaunti nyingine inachukua dola ngapi?
Nilivyoisoma heading ya uzi wako nikadhani labda kuna tatizo kubwa linakuandama, nimefungua nakuta mtu analilia akaunti ya facebook, tena ni MWANAUME, kweli?
Acha umama mkuu, fungua nyingine, add marafiki wote uliokuwa unaona ni muhimu.
 
Tuma detail zako tuifungue account yako

Username
Email na password yake
Phone number
Recently used password
Nisaidie mkuu ina watu wa muhimu sana na nimepoteza namba zao za simu pamoja na majina yao ya Facebook
 
Details zako zote muhimu unazikumbuka..?
Namba za simu ulizoweka
Email iliopo kwenye account ya fb na password yake..

Inweekna kuna mtu alibdirish namba zko z simu/email kwenye account yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom