Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

Wiseperson

New Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Wandugu naombeni ushauri. Nimefanikiwa kupata vijisent kidogo na nataka kuagizia kausafiri kutoka Japan,Je ni kampuni gani ya uhakika na kwa bei nafuu naweza kuitumia?
 
Ishu sio kampuni angalia kikokotoo cha TRA na CIF kabla hujaagiza. Be forward Naona wanaaminika.
 
Back
Top Bottom