Jaman mwenzenu nimeitwa kwenye interview UTUMISH na nimeona zaid ya watu mia nane hamsini waloitwa kwenye hiyo nafasi ambayo ilikua inahitaji watu watano mi nko Tunduma mnanishaurije niende au nipotezee tuu kwa wenye ufaham na UTUMISHI naomba nisaidiwe mana me ndo mara ya kwanza kuitwa na hawa jamaa sijawah fanya interview zao
nenda ukapambane kijana,usikate tamaa!
Mkuuu waweza kuta kati ya hao watano wanaohitajika wewe ni mmoja wapo. Utajuaje pasipo kuja na utakuwaje mmoja wao pasipo kufanyiwa intavyuu?
Kama una sehemu umejishikiza bora upambane kivingine maana bwana watu 5 kati ya 500 ni kama shinda nyumba na Airtel yatoshaJaman mwenzenu nimeitwa kwenye interview UTUMISH na nimeona zaid ya watu mia nane hamsini waloitwa kwenye hiyo nafasi ambayo ilikua inahitaji watu watano mi nko Tunduma mnanishaurije niende au nipotezee tuu kwa wenye ufaham na UTUMISHI naomba nisaidiwe mana me ndo mara ya kwanza kuitwa na hawa jamaa sijawah fanya interview zao
mi nadhan hao watano hawana doa kichwani wote mko kwnye challenge so nenda tu ukajaribu pengine ni bahati yako.....
Kama una sehemu umejishikiza bora upambane kivingine maana bwana watu 5 kati ya 500 ni kama shinda nyumba na Airtel yatosha