Naombeni ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni ushauri

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by jameslugendo, Sep 10, 2012.

 1. j

  jameslugendo Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 5, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi, nimtoto wa mkulima ila nimepata post ifm computer science na sina uwezo wa kujilipia pia kozi yenyewe nackia haina soko, nifanyeje? Naombeni ushauri wakuu.
   
 2. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  je una amin mambo ya kusikia??? je wewe unaipenda hiyo program?? jibu tuendelee...
   
 3. j

  jameslugendo Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 5, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naipenda ingawa sijaifahamu kiundani.
   
 4. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Ningekuambia ukabadili course na uchague yenye kipaumbele kama edu,lakini sidhani kama ifm kuna kama hzo. Ila kama ulijua we mtoto wa mkulima,kwa nini ulichagua course zisizokuwa na mkopo?
   
 5. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwanini usiendeleze fani ya baba yako ukulima?
   
 6. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Ningeshangaa kama ungekuwa na ushauri tofauti na huu
   
 7. j

  jameslugendo Member

  #7
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 5, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi cjaichagua, nimepangiwa na tcu wenyewe.
   
 8. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Dogo hiyo kozi ina soko, msikalie maneno ya vijiweni.Ushauri wangu kama mambo yakishindikana, ahirisha mwaka jipange kwa ajili ya mwaka kesho na kuchagua kozi ambazo unaweza pata mkopo.Mda huo tafuta shule na piga "Tempo".Yangu ni hayo tu.
   
 9. j

  jameslugendo Member

  #9
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 5, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poa kaka, asante kwa ushauri
   
Loading...