NAOMBENI USHAURI

Bwashee ugonjwa wa kawaida huo, nishaenda hospital akatoka dem mkali ana lia.

Kama nisinge kuwa dogo, basi ninge enda kumfariji
Hahahaha kwa sisi millenial hilo gonjwa huwa tunaligwaya kinouma , pisi inaweza katisha ukivuta picha watu walivyo kuwa wanaisha , abdala kichwa wazi ana nywea fasta
 
Mwambie boss akitaka zaid

Kuna nyumba ipo pahala fulani ainunue kwa ajili yako na ya pesa ndogo tu mill 31

Aandikishe majina yako iwe chini ya umiliki wako iwe ndio chimbo lako wewe na yeye kukutaniana bila ya hivyo endelea kumuonea haibu na usijibu simu yake wala sms zake

Nasisitiza umiliki uwe chini yako, na hati za nyumba ziwe kwenye himaya yako

Usizubae
 
Mi ninavyojua kizazi chenu hakina shida yoyote when it comes to sex.

Japo huwa jna episodes nyingi sana na maboss wako, coworkers etc. Angalia na umri unakata sio poa.
 
Badilisha hilo jina naona hulitendei haki.
Wewe na boss wako mmegeuza ofisi sehemu yenu ya kupeana burudani na kupigana matukio..!!

Kwahiyo ulimsamehe boss wako?
Wewe na cacutee id moja?
 
Wewe tumesha kuzowea na Chai zako
JF VAR CHECK
 
JF VAR CHECK
 
Kuna vitu vina ukweli ni vile mtu hana okusemea kwahiyo kapata zake pa kuyatapika ili awe huru!
 
Acha kazi!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…