Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

Scott junior

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2022
Posts
2,376
Reaction score
3,136
Wakubwa kwema, Tafadhali naomba ushauri mimi ni kijana wa miaka 32 sijao ila nina mchumba ambaye tuna mpango wa kuoana mwaka huu na maali nimeishapeleka kwao.

Ni mwanamke ninayempenda ambaye nimekaa naye kwenye mahusiano takribani miaka mitatu ila kipindi nimeanza mahusiano nae tulisumbuana kidogo nikapata mwanamke nikaanzisha mahusiano.

Japo sikuwa na malengo naye kwa bahati mbaya au nzuri akashika ujauzito, ila kipindi hicho hicho nikarudiana na mpenzi wangu ambaye ninampango wa kumuoa,kutokana na umri kuwa umesogea na sina mtoto nikakubali uyo mwanamke azae ili nimtunze mtoto atakayezaliwa.

Mtoto kazaliwa wa kiume na nikawajibika kama baba kumtunza mpaka saivi ana umri wa mwaka mmoja.

Huyu mwanamke niliyezaa nae ni mtu wa nyumbani bukoba na mwanamke ninayetaka kumuoa ni mtu wa mbeya.Nafanya kazi serikalini na nimeishajenga nyumba morogoro maana ndo nimeamua kuweka maisha yangu.

Mwanamke ninayetaka kumuoa aligundua kuwa nimezaa na mwanamke mwingine tukagombana lakini akakubali kunisamehe na akasema amekubali kuishi na huyo mtoto.

Changamoto mwanamke ninayetaka kumuao saiv amezidisha wivu anakagua simu mara kwa mara na kunifatilia sana.

Changamoto nyingine mtoto amekuwa mkubwa inaniwia vigumu kumfanya mtoto wa nje ya ndoa pia huyu mwanamke ninaetaka kumuoa anataka aje kuishi na mdogo wake mwenye miaka 10 ambaye anasoma nimtunze.

Mimi kitu ambacho mimi kinaniwia kigumu nikifikilia nitunze watoto wa watu wakati wakwangu yupo nje,
na pia kuanza kutunza familia ya kwao wakati mimi malengo yangu ni kuoa mwanamke ambaye tutajenga Familia yetu kwanza wengine tukawapa kipaumbele baadae.

Kinachonisukuma kumuoa huyu mwanamke niliyechumbia ni mwanamke mwenye akili nyingi za maisha na kinachonizuia kumuoa mwanamke niliyezaa nae namuona ni mwana mke ambaye hana future.ila wazazi wake na ndugu wananishinikiza nimuoe kisa nimemmzalisha.Naomba ushauri wenu niko njia panda.

Ingawa mbeba maono ni mwanaume.
MWANAUME MWENZETU ANAOMBA USHAURI.🙏🏻
 
Oa wote mkuu! Ndoa za kimila hazina limit ya wanawake wa kuoa.
Kama hauwezi kuoa wote piga chini wote Anza kutafuta upya ambaye hayupo kabisa kwenye mzunguko wako wa Sasa.
Kama ngumu pia kataa ndoa lea watoto uliozalisha
 
"Kinachonisukuma kumuoa huyu mwanamke niliyechumbia ni mwanamke mwenye akili nyingi za maisha".

Mwache afanye kama anavyotaka ,halafu wewe zitumie hizo akili zake kumtunza mwanao na huyo ndugu yake .

Hakafu akili zako ujenge future yako sasa.
 
Wakubwa kwema, Tafadhali naomba ushauri mimi ni kijana wa miaka 32 sijao ila nina mchumba ambaye tuna mpango wa kuoana mwaka huu na maali nimeishapeleka kwao.

Ni mwanamke ninayempenda ambaye nimekaa naye kwenye mahusiano takribani miaka mitatu ila kipindi nimeanza mahusiano nae tulisumbuana kidogo nikapata mwanamke nikaanzisha mahusiano.

Japo sikuwa na malengo naye kwa bahati mbaya au nzuri akashika ujauzito, ila kipindi hicho hicho nikarudiana na mpenzi wangu ambaye ninampango wa kumuoa,kutokana na umri kuwa umesogea na sina mtoto nikakubali uyo mwanamke azae ili nimtunze mtoto atakayezaliwa.

Mtoto kazaliwa wa kiume na nikawajibika kama baba kumtunza mpaka saivi ana umri wa mwaka mmoja.

Huyu mwanamke niliyezaa nae ni mtu wa nyumbani bukoba na mwanamke ninayetaka kumuoa ni mtu wa mbeya.Nafanya kazi serikalini na nimeishajenga nyumba morogoro maana ndo nimeamua kuweka maisha yangu.

Mwanamke ninayetaka kumuoa aligundua kuwa nimezaa na mwanamke mwingine tukagombana lakini akakubali kunisamehe na akasema amekubali kuishi na huyo mtoto.

Changamoto mwanamke ninayetaka kumuao saiv amezidisha wivu anakagua simu mara kwa mara na kunifatilia sana.

Changamoto nyingine mtoto amekuwa mkubwa inaniwia vigumu kumfanya mtoto wa nje ya ndoa pia huyu mwanamke ninaetaka kumuoa anataka aje kuishi na mdogo wake mwenye miaka 10 ambaye anasoma nimtunze.

Mimi kitu ambacho mimi kinaniwia kigumu nikifikilia nitunze watoto wa watu wakati wakwangu yupo nje,
na pia kuanza kutunza familia ya kwao wakati mimi malengo yangu ni kuoa mwanamke ambaye tutajenga Familia yetu kwanza wengine tukawapa kipaumbele baadae.

Kinachonisukuma kumuoa huyu mwanamke niliyechumbia ni mwanamke mwenye akili nyingi za maisha na kinachonizuia kumuoa mwanamke niliyezaa nae namuona ni mwana mke ambaye hana future.ila wazazi wake na ndugu wananishinikiza nimuoe kisa nimemmzalisha.Naomba ushauri wenu niko njia panda.

Ingawa mbeba maono ni mwanaume.
MWANAUME MWENZETU ANAOMBA USHAURI.🙏🏻
Oa wote, ufaidi
 
Anaakili kimaisha je anaweza kukusaidia kwenye majukumu??
Au ndo akili ya kimaisha kwamba mume tununue kochi au tv au kiwanja ingali yeye haingizi chochote (hela)
Umeshakua mtu mzima mambo yakuchaguliwa mke ilikua enzi zile fanya moyo wako unavopenda usije OA mtoto wa mtu ukampa mateso kisa ulifosiwa kumuoa
 
Kunywa Gongo mkuu nalipia hapa Kwa namba ya NIDA 🤣
Mwanamke Yuko nyumbani tu hachomi hata chapati kibarazani amsaidie mume wake kujaza mfuko wa familia ila kisa tu anakwambia mume wangu nunua kabati la milango mitatu basi unabweteka unaona umepata mke mwenye Akili ya maendeleo 🤣
 
Wanaume wengi wakiona wanawake zao ni waongeaji sana kwenye mambo ya maendeleo wanaona hapa kapata weeeeeee ongea na vitendo mume tujenge uzio nje nusu ya hela hii hapa
Mume hebu tufungue biashara ya kuku kijana awe anasimamia hela hii hapa
Maongezi mengi vitendo zero 😖 halafu unasema mke anaakili kimaisha
 
Umenipa kitu kipya mkuu huu mwaka 2026.
 
Kinachonisukuma kumuoa huyu mwanamke niliyechumbia ni mwanamke mwenye akili nyingi za maisha na kinachonizuia kumuoa mwanamke niliyezaa nae namuona ni mwana mke ambaye hana future.ila wazazi wake na ndugu wananishinikiza nimuoe kisa nimemmzalisha.Naomba ushauri wenu niko njia panda.
FUNGU LA KUKOSA navaa viatu vyako km ningekua wewe ndio mimi ningeoa alikubari kunivulia chupi hadi kuzaa na mimi halafu hilo shamba la miwa la shule ya kijiji lililopo nyuma ya shule ya kijiji ningeachana nalo kabisa, sababu anakulia timing tu huyo sio kwamba ana akili za maisha, huyo ambae unamuona hana future ndio wa kujitoa na kujenga nae future beba kapu tupu usibebe kapu lililojaa kila kitu

Ps: Mapenzi ni UPOFU na wapenzi wana Macho ya Bandia.
 
Wanaume wengi wakiona wanawake zao ni waongeaji sana kwenye mambo ya maendeleo wanaona hapa kapata weeeeeee ongea na vitendo mume tujenge uzio nje nusu ya hela hii hapa
Mume hebu tufungue biashara ya kuku kijana awe anasimamia hela hii hapa
Maongezi mengi vitendo zero 😖 halafu unasema mke anaakili kimaisha
Wenzako watakutoa nnje kwenye kikao
 
#ZIMA HISIA WASHA AKILI kuna jambo unatakiwa ulifikirie mwanamke mpaka anabeba ujauzito wako sio kitu cha kubeza bro jaribu kubeba viatu vya huyo binti sasa anyway kwa huyo binti mwingine mueleze ukweli pia mwanamke ataachana na wazazi wake na kuongozona na mumewe maandiko yamesema nukuu unahitaji mwanamke kwa ajili ya family uyo wa unasema ana akili ya maisha kuna siku akikuzidi kete kwisha habari utaleta ushuhuda wa nyuzi pia
 
Wanaume wengi wakiona wanawake zao ni waongeaji sana kwenye mambo ya maendeleo wanaona hapa kapata weeeeeee ongea na vitendo mume tujenge uzio nje nusu ya hela hii hapa
Mume hebu tufungue biashara ya kuku kijana awe anasimamia hela hii hapa
Maongezi mengi vitendo zero 😖 halafu unasema mke anaakili kimaisha
Bora mmempa za uso wahusika wenyewe, mimi nikisema naonekana natia nongwa kwenye hilo Penzi kitovu cha Uzembe na Mjomba Ngoswe
 
#ZIMA HISIA WASHA AKILI kuna jambo unatakiwa ulifikirie mwanamke mpaka anabeba ujauzito wako sio kitu cha kubeza bro jaribu kubeba viatu vya huyo binti sasa anyway kwa huyo binti mwingine mueleze ukweli pia mwanamke ataachana na wazazi wake na kuongozona na mumewe maandiko yamesema nukuu unahitaji mwanamke kwa ajili ya family uyo wa unasema ana akili ya maisha kuna siku akikuzidi kete kwisha habari utaleta ushuhuda wa nyuzi pia
Na maandiko yanasema usimuache mke wa ujana wako isipokuwa kwa dhambi ya uzinzi..
 
Hajaoa bado hapo lakini ila huyo aliezaa nae ndie mke wake halali ila tamaa za huyo mwanamke mwingine ambae kiuhalisia amepangwa awe mchepuko wake yeye analazimisha amfanye awe mke wake, mwelekezeni vizuri huyu kijana kabla hajapotea kusikojulikana maana mtaka 2 na 7 hupatwa na mingi misiba, wewe unatakaje 2 halafu hapo hapo unataka 7?
 
Back
Top Bottom