Bei Rahisi Electronics
Senior Member
- Apr 4, 2025
- 197
- 584
SawMpe ..
Mkuu wewe ndo ulisema ni mwanajeshi nyota moja?Kaka zangu na dada Zangu habari
Yule mwanamke amekuja jana getoni kwangu na ameniomba msamaha kwa kunichiti pia anashida ya laki Tano
Naomba ushauri nimpe na nimsamehe
Msamehe na mpatie kiasi hichoKaka zangu na dada Zangu habari
Yule mwanamke amekuja jana getoni kwangu na ameniomba msamaha kwa kunichiti pia anashida ya laki Tano
Naomba ushauri nimpe na nimsamehe