Bei Rahisi Electronics
Senior Member
- Apr 4, 2025
- 197
- 584
Sijui natokajeUmri wako unafanyiwa vitu vya kikubwa kupita umri wako mpaka unapagawa. Hamna dawa wala nini.
Kimbia hilo li'aunt uiponye nafsi.
Mim ni Mtumishi wa JWTZ na baba yangu ni Mkuu sehemu Fulani atanifanya niniUsimuache
Hakikisha unatembea na kilainishi just in case mbaba wake askari amekukamata
Sasa mbona unaomba ushauri?Mim ni Mtumishi wa JWTZ na baba yangu ni Mkuu sehemu Fulani atanifanya nini
Kama weye ni mtumishi wa JWTZ na baba yako ni mkuu mahala flani.. Kwanza inaonesha wewe ni mmoja ulie ingia kwa ki memo huko JWTZ maana kwa mgongo wa baba yako..Mim ni Mtumishi wa JWTZ na baba yangu ni Mkuu sehemu Fulani atanifanya nini
Usiliache hilo lishangaziNaombeni ushauri
Mimi ni kijana wa miaka 23 nipo na uhusiano na mdada wa miaka 32 ananionesha ananipenda ila mbaba wake Mimi ni mtumishi wa JWTZ yeye ni Askari police
Nataka kumuacha ila nashindwa sijui Ananifanyia dawa
Dah,sikulitarajia hili from you😂😂 kilainishi Kipi sasa umeona kitamfaa.Usimuache
Hakikisha unatembea na kilainishi just in case mbaba wake askari amekukamata
Dah,sikulitarajia hili from you😂😂 kilainishi Kipi sasa umeona kitamfaa.Usimuache
Hakikisha unatembea na kilainishi just in case mbaba wake askari amekukamata
KLY jelly 😂Dah,sikulitarajia hili from you😂😂 kilainishi Kipi sasa umeona kitamfaa.
Yale yale ya "fulu name"Kweli ww upo jwt namana hata uandishi wako ni tata
Subiri ukamatwe ndio utajua atakacho kufanya ! Na wakati huo baba yako hatakuwepo mpk aje itakuwa too lateMim ni Mtumishi wa JWTZ na baba yangu ni Mkuu sehemu Fulani atanifanya nini
Kama ni kweli jeshi letu lina shida mahali kunahitaji reformsNaombeni ushauri