Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

Astizzle

Senior Member
Joined
Sep 29, 2021
Posts
103
Reaction score
85
Nimejitolea kwenye NGO moja inadeal na usawa wa kijinsia, wameniambia niandae vitu navyohitaji kujifunza kutoka kwao lakini mimi kwa kweli sina experience yoyote naomba kwa anaejua maswala ya NGOs anisaidie niandike vitu gani vya muhimu kujifunza.

N.B nimehitimu degree ya sociology mwaka huu.
 
Sawa
 
Yaan umejitolea nabado wanakupa kazi ngumu hvyo jewakikuajiri siwataomba roho yako
 
Nimejitolea kwenye NGO moja inadeal na usawa wa kijinsia, wameniambia niandae vitu navyohitaji kujifunza kutoka kwao lakini mimi kwa kweli sina experience yoyote naomba kwa anaejua maswala ya NGOs anisaidie niandike vitu gani vya muhimu kujifunza.

N.B nimehitimu degree ya sociology mwaka huu.
Upoo mkoa gan Kwanza
 
mkuu una degree na hilo jambo linakupa shida?

ulipokuwa chuo hukuwahi kufanya research?

zile objectives uliandika mwenyewe au uliandikiwa?

Vipi kuhusu field hukuwahi kufanya? nini zilikuwa objectives zako za kujifunza

they say "after school, education is what you remember" it seems your education is lacking somewhere!

samahani kama nitakukwaza ila huo ndio ukweli

turudi kwenye meza ya kuchorea tena!!!!
 
Sasa hzo objective za research zinaingia vp huku bro
 
Mkuu majibu yako kwenye lengo lako la kujitolea, ni kipi kilifanya uamue kujitolea kwenye hiyo NGO? Hicho ndicho kitakupa majibu ya nini ujifunze.
 
Nimejitolea kwenye NGO moja inadeal na usawa wa kijinsia, wameniambia niandae vitu navyohitaji kujifunza kutoka kwao lakini mimi kwa kweli sina experience yoyote naomba kwa anaejua maswala ya NGOs anisaidie niandike vitu gani vya muhimu kujifunza.

N.B nimehitimu degree ya sociology mwaka huu.
Anaejua amsaidie jaman
 
Back
Top Bottom