Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 373
Alianza kadalili kakunyemelea mgongo. Nikamwambia kama anataka bibi yake afufuke kaburini asubutu kujaribu rudia tena! and he apologised it was then over.
Kama unampenda na unataka kunusuru ndoa yako, mfungulie banda la uani tu manake ashaonyesha dalili kuwa interest yake ndipo ilipo!
You dont know his behaviours,
You dont even know if really loves you,
He is divorced with two kids,
Has got zero romance,
Less active in sex, choka mbaya always!
Not open to you, muongomuongo
.....AND THE SHOCKING THING IS- YOU STILL WANT TO BE WITH HIM DADA,
UTAKUWA UMELOGWA COZ IT NEVER GET WORSE THAN THIS!
There is no light at the end of the tunnel here, hata hiyo tigo ukiamua kumpa- 'kishipa' chake kinaweza kikagoma kuamka bado, bora uangalie ustaraabu mwingine, take it as a lesson and there's no doubt you've learned it from the best, goodluck.
Kana-Ka-Nsungu
JF SENIOR SEXPERT.
mara ya kwanza nikaona LOrain sasa Penny kumbe una majina mawili na yote unayatumia kupost!naona ulijimix kidogo poleThank you alot for your advice.
....Mambo ya take away hayo....Teh! teh! tehhhhhh!!! Pole!!!
Lazy dog thanks for your comments but this one really worked fine:-
Umefikiria kunufaika vipi hapo? Kwa nini usifanye kinyume chake, ukifika uwachangamkie waalikwa katika mazungumzo. Show that you enjoy having conversation with them. Laugh when they make jokes.
The party was good, very Man in the party was like admiring me and some dared to even approach me wanting me to give them my tel. No. and asking for a date. This has made me have confidence with my self now. Thanks alot for your advice and everyone else in the Forum.
Kwa kweli anaonyesha kutojali. Maana nilimpa hata wazo ajaribu kutumia natural meds from africa but hakujibu kitu alinyamaza kimya tuu. After two weeks I reminded him again about the meds, he just answered me Western food is also the cause too for him not being sexually active.
Thanks Kithuku, kama umefatilia hii mada toka mwanzo nadhani ungeielewa vizuri zaidi. Swala sio kwamba najitafutia kashfa au kijiadhiri. Ni kwamba nampenda na ningependa nimtulize na depression aliyoipata hapo awali na ex-wife. Ila yeye anaonekana kujifanya kuonyesha kiburi na kutojali. Ndo maana nilikuja hapa kuomba msaada kwenu kiungwana zaidi badala ya kuanza kwenda mahospitalini au makanisani. Au nimekosea kaka?
Asante sana kaka,
Ningependa sana kama ungeweza kunipa styles za kuongea naye. Maana may be naweza nikawa nimdhaifu katika hilo. asante kwa hilo.
Anza hivi, kwanza muelewe huyo jamaa, kwa tatizo lake hilo tayari anajisikia inferior, na hiyo inferiority complex inamfanya ajitutumue kwa hizo arrogance. Jibu la hali hii ni wewe kuanza kuwa humble, mwoneshe kuwa yeye ndiyo mwenye nguvu hapo nyumbani, listen to him, na hata mnapotofautiana jambo, mwoneshe kana kwamba akifuata unachotaka wewe atakuwa anakufanyia huruma na sio kwamba umemshinda kwenye hoja. Yaani jishushe sana tu. Gradually atakuwa tayari kushiriki kwenye hiyo process ya kumponya hali yake hiyo. Tatizo likishaisha au hata yeye mwenyewe akishaweza kuli-control bila kukuathiri, basi gradually utaanza ku-introduce preferences zako, na nina uhakika zitakubaliwa tu.