Kitumbuni kwa binti mariamwe umeyajulia wapi?
Huyu mwanafunzi bana sijui ameenda kutafuta nondozz kwanzasasa huyu kokussima mbona hajibu....?????lol
tunatafuta wanafunzi kama yeye lol
hahahaha! Amenigusa haswaaa. Lol.
Huyu mwanafunzi bana sijui ameenda kutafuta nondozz kwanza
Kitumbuni kwa binti mariam
Mhhhh! Haya banaaa angalia usianze kuchanganyikiwa tu
hahahaha! Amenigusa haswaaa. Lol.
yaani nisije nikaanza kukata mauno jf bure. Ngoja nitoke.
yaani nisije nikaanza kukata mauno jf bure. Ngoja nitoke.
tutahamishwa jukwaa soon lol
Hahahahahah lol! unacharge kiasi gani kuangalia ukataji wa mauno ya Husninyo? hahahahahah lol!
yaani nisije nikaanza kukata mauno jf bure. Ngoja nitoke.
ahhahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mi hoisio lazima.....sio kila mwanaume anapend mauno....
sometimes unakutana na mdada...mpaka unamwambia.....taratibu aisee....lol
mauno mpaka kwenye dari....lol
naomba tusiamishwe. Kule kuna madude yanatisha hayo
ahhahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mi hoi
hapo umenena .............vingine majaliwa tuKokusiima mpenzi......
Asikudanganye mtu.......... mwanamke mauno.
Tunapozungumzia mauno hatumaanishi kuyakata kama feni bali ushirikiano stahiki.
Napatikana Tegeta, niPM kwa ajili ya mafunzo zaidi. Huwa nafundisha kwa nadharia na vitendo