naombeni ushauri wenu wapendwa!

hahaha! Sijui niwape ofa. Au nikusanyie jelo jelo kama loliondo.

Toa offer na wateja watakuwepo tena wa kumwaga :):):) wengine watatoka katika nchi za jirani ili kuja kuona shughuli nzito za Husninyo :):) lol!
 
sio lazima.....sio kila mwanaume anapend mauno....

sometimes unakutana na mdada...mpaka unamwambia.....taratibu aisee....lol

mauno mpaka kwenye dari....lol

Hahahahahaha......... nimekugongea mkuu!! mauno mpk kwnye dari!! huyo nux.
 
Toa offer na wateja watakuwepo tena wa kumwaga :):):) wengine watatoka katika nchi za jirani ili kuja kuona shughuli nzito za Husninyo :):) lol!

hahahahaha! Nipromise hamtolewesha screen na keyboards zenu kwa udenda. Lol.
Ngoja wateja waongezeke ongezeke nianze show.
 
hivi ukweli ni upi? ni lazima mwanamke akiwa kitandani na mwenzi wake kutikisika(kukata mauno?) au si lazima? naombeni wanaJF minjuze make sielewi

Kwa kweli mi na mauno wakati wa mambo, no, no, nooo...

Kama anajua mauno namuwekea mziki acheze...
 
Halafu nchi nyingi za ulaya wanawake wao hawana utamaduni wa kukata viuno, wanaume ndio mabingwa wakukata viuno...lol...
 
nahisi kukata mauno ni utamaduni wa kitanzania ukiwa na mwanaume wa mataifa mengine ukikata kiuno anakushangaa,.....so it depends uko na nani....ila mie huwa sikati , uwezo wa kuzungusha wakati umeegemewa na jibaba la miraba minne sijui mnautoa wapi?????wanachofata ni utelezi na joto hayo mengine ni madoido tu sidhani km yanawapa raha......
 
hahahahahahahahahaha....
kwa hiyo ni mbwembwe tuu...
 
Back
Top Bottom